Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jomo Kenyatta International Airport (JKIA)
Busiest and largest airport in EAC and Central Africa




Kwanza kabisa umesahau filter nadhani hiyo imewaudhi mpaka Wakenya wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pili unasema the busiest airport alafu kuna ndege tatu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usimtaje Magufuli hapa alikuwa ndio mastermind ya upigaji na uozo wote na wote wanaotajwa hapa ni wezi walioletwa nae..

Upigaji Umekuwa ukifanyika miaka yote ya Mwendazake hakuna hatua zikichukukiwa zaidi ya Kulinda wezi..

Ushenzi wote uliofanywa na wateule wake na Bado wako wa kutosha nashangaa Rais anapata kigugumizi,afukuze kuanzia PM hamna kitu hapo..
 
Ni washenzi sana hao mbwa, yaani Kila Ufisadi ni source ya yule Rais wao na genge lake.Kuanzia kwenye noti za BoT,Sgr,bwawa,TanRoads,ndege ,uzembe huko Halmashauri nk kote alipachika wezi na wameiba na ndio wanasumbua saizi..Zaidi ya Bil.100 za Halmashauri zimeliwa yupo tuu anapiga propaganda za mapambio.

Mwendazake hakuwahi hata siku Moja kumchukulia mtu hatua Kwa ripoti za CAG zaidi ya kufukuza CAG..

Rais aache kusita sita na Kuzunguka zunguka,Fukuza PM na kamata hao washenzi uzuri yapo yanazunguka tuu..
 
Upigaj kila kona
Hili swala Halima Mdee aliwahi hoji Bungeni na Majibu ya Waziri wa Fedha hayakuwa straight ingawa Conclusion ilionekana kwamba Serikali ililipa madeni ya Wazabuni na Wakandarasi waliokuwa wanadai..

Na hoja ya Halima ilikuwa ni kwamba Serikali ikiri kwamba ilikuwa inadaiwa na ililipa madeni ya nyuma ndio maana haikutekeleza mradi.
 
Tatizo serikali ya JPM ilikuwa na untouchables yaani wale wateule wake na mashetani wale aliokuwa akiwashukia hata kwa uonevu na pia kuwapora!
 
Tatizo serikali ya JPM ilikuwa na untouchables yaani wale wateule wake na mashetani wale aliokuwa akiwashukia hata kwa uonevu na pia kuwapora!
Kwa mfano Mimi sehemu nayofanyia kazi yaani wale wateule walioletwa nae hakuna hata mmja aliyekuwa anaweza kuwanyooshea mkono Kwa sababu walikuwa wanaogopwa na kusema ni watu wa system sijui wa Magufuli nk.

Sasa walitumia hiyo chance Kuiba sana,ilitengenezwa mentality mbaya na Kitendo Cha kumtimua CAG na hofu iliyokuepo hakuna mtu aliweza kuripoti si vyombo vya habari Wala TAKUKURU..

Binafsi nimewahi ku experience nikienda kufanya my routine task ila Nje na Kituo Cha kazi Kwa Mwezi ila watu wanakuogopa Wana ku skip yaani ilikuwa ni shida..
 
wafuasi wa mwendazake humu hawawezi kukuelewa si ndo maana nasema Usukumagang ulitamalaki!
 
wafuasi wa mwendazake humu hawawezi kukuelewa si ndo maana nasema Usukumagang ulitamalaki!
Mm wanielewe au wasinielewe wananifahamu msimamo wangu tangu 2017 sijawahi badilisha linapokuja suala la Mwendazake Kwa sababu sijawahi mkubali ila simchukii but wao wanamuona ni Malaika wao hajawahi kosea ni immortal 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…