Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
👇Umeanza kuhamisha magoli,hakuna Cha base swala ni kampuni zinazoenda Mbeya.
13.Al Saedy,
14.Happy Nation,
15.Galaxy Royal
16.Luwinzo,
Bado sijamaliza.
Hii battle umeshindwa kaa kwakutuliaUkitaka tutaje kampuni za Mabasi zinazopita njia tu DOM, MORO na SINGIDA zitaongoza kupitiwa na basi nyingi Tz ChoiceVariable
Nakuunga mkono. Tanga wapo na basi nzuri sana tangu zamani. Labda mwenzetu bado haja explore Tanzania.👇
Hii battle umeshindwa kaa kwakutulia
Hazijatoka kundustanSuala la usafir nchikavu na majin, sidhan wakenya wanaleta ubishi kwa Tanzania. Hii sector Tanzania tuko vizur
Haijui Tz huyo jamaa.. ni watanzania wachache tuliopata bahati ya kusafir karibu nchi nzima, kwahyo ni jukumu letu kuwaelimisha wale ambao hawajapata bahati hiyoNakuunga mkono. Tanga wapo na basi nzuri sana tangu zamani. Labda mwenzetu bado haja explore Tanzania.
Mbeya naijua sana.
Cheki nyangau wanavyokubali vitu vya bongo..huyu ni MP huko KunyalandView attachment 2581000
Hawajawahi kuwa na klabu ya mpira inayoeleweka.Kundustan timu zao zilishajifia
Traveller [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tarehe 16 watakuja kucheki MBUNGI hawana namna
unanipostia building za 10 floors na nakuonyesha 28 storey building pension towers in Eldoret.....smh!!R u serious? 😀 [emoji2297] [emoji115]
VS
utakuwa una dementria! maana hilo jengo la Eldoret halifikii hata hili! [emoji116] 😀
BTW niletee hotel moja tu Eldoret inakaa hivi!
Au hivi
Au office space inakaa hivi
View attachment 2581918
au hivi
au hivi
Wakunya ifike mahali muache ufalamanga!