Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moi University pension towers ya Eldoret is way more beautiful than that Caterpillar you guys are constructing ...vitu ndogo sana huwababaisha sana.Hamjazoea I understand View attachment 2581197
R u serious? 😀 🙆‍♂️ 👆

VS



utakuwa una dementria! maana hilo jengo la Eldoret halifikii hata hili! 👇 😀


BTW niletee hotel moja tu Eldoret inakaa hivi!


Au hivi


Au office space inakaa hivi


au hivi


au hivi



Wakunya ifike mahali muache ufalamanga!
 
Tanzania nzima Mbeya ndio inaongoza Kwa kuwa na VIP Buses nyingi..

Toka mwaka huu kuanza kampuni 3 zimeanza safari njia ya Mbeya Dar

Shabiby
Mohsol express na Sasa,
Shabiby,

 
Moi University pension towers ya Eldoret is way more beautiful than that Caterpillar you guys are constructing ...vitu ndogo sana huwababaisha sana.Hamjazoea I understand View attachment 2581197
Hizi☝️ jua kali type usitaje tukiongelea vitu vya maana.. zishindanishe kwanza na hizi buildings (all from Arusha) 👇au hii au hili hapa
 
Wacha mchezo wewe unaijua route ya Tanga DAR.? au Tanga Arusha.?
Hakuna kitu,kwanza huko ni bus zile zile, kampuni zile zile.

Mbeya sio tuu Ina VIP nyingi Bali Ina kampuni nyingi zaida labda Mwanza nao naona walau wameanza kupata VIP from last year.
 
Hakuna kitu,kwanza huko ni bus zile zile, kampuni zile zile.

Mbeya sio tuu Ina VIP nyingi Bali Ina kampuni nyingi zaida labda Mwanza nao naona walau wameanza kupata VIP from last year.
Sidhani kama kuna mkoa uko na Kampuni nyingi za Mabasi kuzidi Tanga hapa Tz.. wewe ni wa porini huyajui haya.. kampuni za Mabasi kila kukicha zinaingiza vyombo vipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…