Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image
 
Hilo neno inferiority complex hulielewi, unalitumia tu kisa umetuona tukilitumia, same way hukuelewa chenye wamarekani walikuwa wakisema.
Tatizo lenu ujinga umewajaa sana, ninahisi ni athari ya kuendekeza ukabila kwa muda mrefu. Iweje Kila kitu ninyi tu ndio wenye kuelewa lakini wengine wote hawaelewi?

Hapa hujaelewa nini?
 
Back
Top Bottom