Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it might be rubbish to you coz you don't understand the Queen's Language and Sheng'
Nutaelewaje Lugha ambayo ni Mali ya Malkia? Na Mimi ni mswahili mkuu. Mswahili na Malkia wapi na wapi?
Halafu nashangaa wakenya kuitukuza, kuiabudu, kujivunia na Kufurahia Lugha ya Malkia ikiwa nyie ni Weusi kama Lami.
 
ag·gres·sive
əˈɡresiv/
adjective
  1. ready or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
    "he's very uncooperative and aggressive"
    synonyms: hostile, belligerent, bellicose, antagonistic, truculent; More

kama tafsiri za "aggressive" ndio hizo,sidhani kujiita "aggressive" ni sifa nzuri kwa kenya maana jamii ya watu ambao ni "hostile" mara nyingi huwa na tabia za ki-primitive,tabia za ki-stone age.

kama huamini,fatilia tabia za wamasai(nazungumzia wale wamasai wanaoishi maporini na mbugani sio wale wa mijini) au fatilia documentary zinazozungumia uncontacted tribes katika msitu wa amazoni huko amerika ya kusini.

moja wapo ya documentary ni hii hapa.[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Nutaelewaje Lugha ambayo ni Mali ya Malkia? Na Mimi ni mswahili mkuu. Mswahili na Malkia wapi na wapi?
Halafu nashangaa wakenya kuitukuza, kuiabudu, kujivunia na Kufurahia Lugha ya Malkia ikiwa nyie ni Weusi kama Lami.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Lakini wakenya wa Nairaland ni wakali zaidi akiwemo Nairobiwalker
 
unajiaibisha ndugu.. aggressive maana yake ni straightforward sana...ni mtu asiyekubali kushindwa..

Agrressive ya mnyama na aggressive ya ninadamu ni tofauti kabisa...mfano tunaweza sema ukimchokoza simba anakuwa aggressive...tukija kwa binadamu aggressive ina maana mtu ambaye hapendi kuambiwa chochote.lazma ashinde arguments....mtu mwenye kichwa kigumu na mchokozi...

we normally tell you to stick to Kiswahili hamsikii.
...haya outcome yake ndio hii ...aibu...


In business there is aggressive marketing....now tell me if mtu mwenye akili zake timamu anaweza ku husisha marketing na pangas and rungus and primitive people fighting?? !!

Aggressive Market
. A market or exchange with a high trading volume. When a market becomes very aggressive, the price of stocks can go up significantly, which in turn makes it more expensive for a trader to become involved in the market by buying stocks.

🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁On a serious note, its very sad that you guys have a terrible education system...

ndio maana unaona Mtanzania akiskia aggressive anafikiri mambo haya
 
Niforums yakipuuzi
Ubinafsi na hawapendi kupingwa hata sikumoja
sio kama Humu jf kila mkenya yupo huru kuchangia
Mie toka mwezi wa 5 Sijaingia kule
nawala sina mpango na kiforums uchwara
mnatuogopesha sisi
kama mmeshindwa nyie wabishi
sie itakuwaje
hizo Forums za kenya zipoje
!!
 
Hahaha eti terrible education system kisa neno aggressive Hahaha basi wa Japan, China Russia, France etc wangekuwa wangekua ni zumbukuku kabisa kisa tu Kenya wanaongea English Hahaha nyie badala ya Ubongo mna kamasi kichwani you are too low and primitive
 
So what's the problem with that, what does that maketh you think about us.
 
unajiaibisha ndugu.
najiaibisha kivipi "msee"?...kwani tafsiri ya neno aggressive hapa chini iliandikwa na nani kama si wewe mwenyewe?.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ag·gres·sive
əˈɡresiv/
adjective
  1. ready or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
    "he's very uncooperative and aggressive"
    synonyms: hostile, belligerent, bellicose, antagonistic, truculent; More
nimebaini kwamba ulipogundua ni namna gani tafsiri ya neno aggressive uliyotuletea awali ilivyotumika kuwatafsiri vibaya wakenya,ukaamua kwenda kutuletea tafsiri nyingine toka kwenye search bar ya google search..smh....wakenya mpo "hostile" sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
comrade,
huyo bwege awali kabisa alituletea maana hii ya neno aggressive.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

ag·gres·sive
əˈɡresiv/
adjective
  1. ready or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
    "he's very uncooperative and aggressive"
    synonyms: hostile, belligerent, bellicose, antagonistic, truculent; More

mimi kama kawaida yangu sikumchelewesha,nikaitumia tafsiri hiyo hiyo aliyotuletea kui-reflect na tabia za wakenya.

nikamjibu hivi hivi.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

alipoona maji yamezidi unga,ndio akaja na zile porojo zake zingine kuhusu tafsiri ya neno "aggressive".

NB:
kwa hakika wakenya ni " hostile" sana na uncooperative. ndio maana wanachukiana wao kwa wao kwa sababu za tofauti za makabila yao.[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



mkenya hawezi nyamaza kama mtanzania asipopata haki yake.........Tanzanians wako sawa na umaskini Yao na unyanyasaji nowonder hali yao ya maisha ni ya chini kupindukia..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…