Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
b4 uende na Kiswahili mob huko,, uliza MOTOCHINI kuhusu experience yake K'Talk
kenyans are aggressive...thats why they are ready to start a Twitter war with anyonetatizo la wakenya mnakuwa too emotional kwenye forums zenu...iwe wenyewe kwa wenyewe au kwa watz.
mpo tofauti sana na sisi watz....sisi huwa tunajua sana kutuliza vurugu kwenye mitandao pale hali inapokuwa mbaya...mara nyingi tunatumia humor kutuliza hasira....wakenya mnatishiana sana maisha pia kutukanana kwenye forums na twittee.why?.
hilo hata mimi nimeliona kule JamiiForums.com...ndio sababu iliyonifanya nichague kuwa msomaji kuliko mchangia mada.hatari sana.JamiiForums.com bado sana...mimi niliboeka pindi tu nilipojiunga..afadhali JF ama zingine...the biggest problem ni ukabila...kule nilipata kuna watu flani wanazungumza kilugha...i was so disgusted...i felt like vomiting...
Mashada ndio ilikuwa kitu kubwa East Africa.... huko kulikuwa kunawaka moto 24/7! after serikali kui ban, watu walihama na wengi wao wako Twitterhiyo mashada ilipatwa na madhira gani mbona haipo active kama awali?....kwanini ilitoweka?.
wakenya wa JamiiForums.com ,nairaland na skyscrapercity wanawezana na Geza Ulole....geza huwa anaenda nao toe to toe mpaka mwisho bila kujari matusi na vitisho vyenu.[emoji23]kenyans are aggressive...thats why they are ready to start a Twitter war with anyone
inasemekana kwamba mashada ili play part kubwa sana katika kusambaza chuki za kikabila miongoni mwa wakenya.Mashada ndio ilikuwa kitu kubwa East Africa.... huko kulikuwa kunawaka moto 24/7! after serikali kui ban, watu walihama na wengi wao wako Twitter
kesho asubuhi after church nitaliamsha dude....[emoji23]Leo tunaongea lugha moja mbona hapanogi...tupieni picha za westlando hapa turudi kazini...haiwezekani tunajisahau namna hii...kadoda take ur position and post something ...we usually chat this battle has no end...until mtu akimbie apa
Niforums yakipuuziKenya Talk walinipiga ban ya milele.
What is the meaning of this aggressive nimekutana na msamiati kama huu Mara nyingi wakenya wakijiita,kenyans are aggressive...thats why they are ready to start a Twitter war with anyone
ag·gres·siveWhat is the meaning of this aggressive nimekutana na msamiati kama huu Mara nyingi wakenya wakijiita,
Does it mean Matusi, Vitisho, Ubaguzi na Ukabila? I don't understand..
Is it a reason for your Tribal killings and endless demonstrations and chaos each single day?ag·gres·sive
əˈɡresiv/
adjective
- ready or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
"he's very uncooperative and aggressive"
synonyms: hostile, belligerent, bellicose, antagonistic, truculent; More
kwani ulienda huko kujadiliana au kuhesabu views?? we kubali ile vumbi uliyotolewa nayo huko haijawai kukuacha salama.Huwezi Kuwa mfuatiliaji wa Forums ukaizungumzia Kenya talk
hio ni Hovyo hovyo
Wala haivutii hata kidogo
Post ya mwezi ina views 2000
Vumbi gani!kwani ulienda huko kujadiliana au kuhesabu views?? we kubali ile vumbi uliyotolewa nayo huko haijawai kukuacha salama.
That ktalk is Rubbish.kwani ulienda huko kujadiliana au kuhesabu views?? we kubali ile vumbi uliyotolewa nayo huko haijawai kukuacha salama.
lol... sasa wewe hata sio jaluo au kikuyu ulikua waenda kufanya nini kwa sub forum za siasa??? siku nyengine uache kuingizaingiza pua kwa mambo yasiyokuhusu.Vumbi gani!
Hivi unaweza jutia Kukosa Kenya talk kweli!!
Ukabila, kutwa na Uhuruto Jaluo
NASA,Kikuyu, Yaani hakuna ushawishi wa Wageni kuipenda forums
Ajabu wenyewe tu mnaikimbia
utawakuta Wakenya kwenye Forums ya kisomali kutwa online kwao no!!