Lakini shida yako huwa ganiZiko kila corner maana yake ziko ngapi ?? ππ neno ziko kila kona maana yake ziwe nyingi kuliko probox
Shida yangu hua nawaambiwa ukweli japo mchungu π€£π€£π€£Lakini shida yako huwa gani
Monday loading only one day left [emoji122][emoji122] turauke asbh mpaka tuhakikishe ugali unakaa juu ga meza [emoji38][emoji38][emoji38]
Bongo Ina barabara kali bhana π₯π₯π₯πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Pipeline ni ushuzi wa bata hakuna nafuu hata dakika mojaππππNow pipeline is concidered low income area ya watu maskani but have you seen how organized the houses are compared to dar
π€£π€£π€£π€£ ajabu bado inaendesha hasara na bado inapigwa penalty kila mwaka ya kutolipa deni ya mchina kwa wakat