Kwasababu mradi ulianzishwa na magufuli ila anganzisha mama haya mapovu tusingeyaskia 🤣🤣🤣🤣 mbona anaendeleza sasa kama hajui faida yakeHicho ki Sgr hakiwezi kuja kuleta faida ,Kwa mzigo gani huko Mwanza inakojengwa?
Tazara inayoenda ambako 70% ya mzigo wa Bandari ya Dar inakula hasara sembuse hiyo ya kwenda Mwanza na Kigoma?
Bora Kunyaland mlijenga Sgr kwenye economic corridor
Sasa hutak aseme ukweli kama kuna upotoshaji ikiwa third class SGR ni modern kuliko 1st class yenu je ulitaka bei ziwe sawa au??🤣🤣🤣🤣Ona dictatorship hehe sasa kuna wengine hawataki watanzania wajue ukweli lazima serikali ifiche ukweli kwa Nija zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2570778
Keki ya politicians 😆😆😆 hakuna njia ya kua tajiri kenya bila kuingia kwenye siasa hakuna
ATCL ishaitengeneza faida tangu ianzishwe?😂😂😂Kuoungua kwa hasara tena almost 50% ni gap kubwa sana la kuekelea kwenye faida kama ulipata hasara ya 60b mwaka jana na mwaka huu ukapata ya 35b ipi ina ahueni kwako??😆😆😆😆 nijibu bila hasira
Wala sio sababu hiyo,wewe unaona Sgr itabeba nini huko Mwanza?Kwasababu mradi ulianzishwa na magufuli ila anganzisha mama haya mapovu tusingeyaskia 🤣🤣🤣🤣 mbona anaendeleza sasa kama hajui faida yake
SGR kwenda mwanza kuna faida sana hasa mizigo inyoenda uganda ww huwez kuona faida kwasababu una kichwa cha mwendawazimu 😆😆😆😆
Hongereni nyie nyang'au kwa kufanya maandamano ya amani, ha ha ha😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Itabeba mizigo ya kwenda rwanda na uganda na kanda ya ziwa yote ww unataka ibebe nini?? Utaoanaje faida wakat uwekezaji unaendelea au huna uelewa kua hio ni long term projects unategemea faida ipi wakat bado investments inaendelea hata ATCl tena nimewapongeza sana Air tanzania wamenifurahisha sana kupunguza hasara ya almost 50% ndani ya mwaka mmoja is not a joke kwenye aviation industryWala sio sababu hiyo,wewe unaona Sgr itabeba nini huko Mwanza?
Hiyo trc Kuna mwaka imewahi pata faida?