Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna sehemu kuna partership kati ya golden dragon na banbros hakuna na hutaipata 🀣🀣🀣🀣 na hakuna assembly plant ya golden dragon bus kenya haipo na haitatokea
Sawa chairman wa Golden Dragon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

 
Acha nikuonyeshe golden Dragon buses assembled in Kenya by Banbros and Chinese partnership πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 2563837
Hzi ndio zile zile nazungumza classic bus kampa order banbros na huyo banbros kaenda china kununua chasis engine na body zimekuja kaunganisha na sasa zinakwenda congo kwa mteja full stop 🀣🀣 lakini official assembly plant hakuna na haitakuwepo
 
Sawa chairman wa Golden Dragon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

View attachment 2563839
🀣🀣🀣🀣🀣 leo nimecheka sana yani unataka kunifunga kamba mchana kweupe

Alaf ulivokosa hata aibu ya kudanganya unaniambia bus zote za golden dragon za tanzania zinatoka kenya 🀣🀣🀣 alaf ukidanganya unapata faida gani sasa
 
Wewe kweli ni falaπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. Umesema vizuri kwamba Banbros walinunua chassis na body alafu wakakuja kuunganisha Kenya. In the next comment unasema ati hakuna assembling ya Dragon buses inafanyiwa na Banbros, kweli unajielewa?πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mm kweli sina akili kwann ulisema golden dragon bus zote za tanzania zimetoka kenya???🀣🀣🀣 ni kweli hakuna assembly plant ya golden dragon kenya sasa unataka niseme ipo wakat muunganishaji mwenyewe ndio huyo banbros magumashi matupu acheni janjajanja
 
🀣🀣🀣🀣 hii ndio assembly plant budaa kwa leo inatosha πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Maybe sijui vile assembly plant inafana, ebu tuonyeshe ya Tanzania πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…