Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Yaani leo nyie nyang'au mna hasira ile mbaya😂😂😂Sasa tukisema ni kuhusu high cost of living in nini huelewi? Wewe unaweza kununua hiyo mafuta na unga kwa bei ya juu kuliko hata hii yetu but you won't do anything about it coz huo uhuru wa kujieleza hauna. Alafu uko hapa kupiga kelele dhidi ya wakenya wanaondamana dhidi ya gharama ya juu ya maisha!!
Do you know the meaning of democracy wewe bongolala? It simply means power of the people,na ndio maana 140 US cities took part in that demonstration. Mauwaji ya watu is about human rights, not democracy. Umesikia bongolala.Aliyeumbuka ni wewe uliyesema Marekani is the biggest democracy in the world, at the same time unaweka picha zinazoonyesha machafuko kutokana na kunyanyaswa na kuuliwa kwa watu weusi huko Marekani, inaonekana hata maana ya demokrasia hujui.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona tuwe na hasira dhidi ya watu wasio na uhuru wa kujieleza? On the contrary, tunawahurumia!Yaani leo nyie nyang'au mna hasira ile mbaya😂😂😂
Nilifikiri jana mtaenda ikulu kumng'oa Ruto kumbe nyinyi na "baba" yenu ni waoga?🤣🤣Mbona tuwe na hasira dhidi ya watu wasio na uhuru wa kujieleza? On the contrary, tunawahurumia!
Do you know which side of the political devide I belong to?Nilifikiri jana mtaenda ikulu kumng'oa Ruto kumbe nyinyi na "baba" yenu ni waoga?🤣🤣
It is none of my business.🤣Do you know which side of the political devide I belong to?
Ni kweli maana kupo kupo tuReli wanaweza kuwa serious na hili eneo wakapiga hela safi sana .
Hii miradi ya SGR Chenji zilizobaki etc au wainject tu hata 100 mil usd wanajenga hata 30flr to 40 flr appartmemt/Hotel mix officces waaite TRC Tower ..Ingawa itaongeza Congestion CBD [emoji52]View attachment 2555912
Wacha kumuuza mwenzako kwa kumfanya mjingaHata WB pia bado haijawatuo in the group of LDC. Yeye anatuonyesha income level wakati tunaongelea development level [emoji1787][emoji1787][emoji23]
We kweli chizi unakuwa kama mama kayayii,Is income and Development the same?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] Unaongelea income wakati tunaongelea development. Tanzagiza is categorized as a Least Developed Country [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hawa washenzi hawachimbi ila mzigo wanao wakutoshaMzee wa unprocessed gold [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa akili yake finyu kama ya zakayo anafikiri gold ni kwa ajili ya ornaments tu wakati zaidi ya 80% ya unearthed gold duniani ipo kama reserves kwenye monetary institutions [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2556311View attachment 2556312
Unajua kitu kinaitwa typo?It is none of my business.🤣
devide=divide
Pia wana toa kandarasi kwa makocha wenye viwango vya dunia na mafanikio kwenye ulimwengu wa mpira.Kwasababu wachezaji wao wengi wanacheza nchi za nje. Chukulia nchi ya DRC na Senegal, wachezaji wao wote wa timu ya taifa hucheza ligi za Ulaya na Asia. Sababu kubwa ni historia ya muda mrefu ya michezo ya nchi hizi.
Sisi ndio tumeanza hivi Sasa, tukiendelea hivi, baada ya miaka 20, timu yetu ya taifa itakua na 90% wachezaji wanacheza nje.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unajitetea sio? Upuuzi mtupu.Unajua kitu kinaitwa typo?
Kwahiyo nchi yenye kukandamiza haki za raia wake kwa misingi ya rangi za ngozi zao na kufikia hata watu kuuliwa hovyo na polisi unaisema Iko na demokrasia kubwa kwa sababu tu wanaweza kuandamana?, Kwa hiyo kuandamana ndio kigezo Cha Demokrasia?, Nchi Kama New Zealand, Finland na Scandinavia countries ambazo hazijawahi kufanya maandamano hazina kabisa dekrasia?. Siwezi kukulaumu kwasababu tangu utoto hamkuwa mkipata chakula Cha kutosha, Ubongo wenu umedumaa kwa njaaThe democratic space Americans enjoy itabaki kuwa ndoto hapo kwenu Tanganyika. Violence kuibuka sehemu fulani haimanishi hakuna democracy eneo hilo. Americans took to the street because of their democratic space. Wewe jaribu kuandamana hapo Tandale kama utarudi kwako na kende zako zote
Usipoteze malengo, sababu kubwa ya maandamano yenu ni bei ya "Unga", hayo mengine ni Kama "supportive", kwanini unataka kuficha kwa kutumia neno "high cost of living". Cost of living Iko na "components zaidi ya 100, "Cost of living is too general"Sasa tukisema ni kuhusu high cost of living in nini huelewi? Wewe unaweza kununua hiyo mafuta na unga kwa bei ya juu kuliko hata hii yetu but you won't do anything about it coz huo uhuru wa kujieleza hauna. Alafu uko hapa kupiga kelele dhidi ya wakenya wanaondamana dhidi ya gharama ya juu ya maisha!!
Vita ni vita muraaa!!!Humu tunabishana kwa hoja, matusi na lugha zako za vijiweni hazinanafasi,kama huwezi kutumia lugha za kistaraabu basi Ban linakuhusu mda sio mrefu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Typo ya nyoko zinja!!!Unajua kitu kinaitwa typo?
We Zinja nitajie taifa la Africa lenye uhuru wa kujieleza. Ikiwa Rais wako tu hana uhuru wa kujieleza itakuwa wewe unayeandamana kisa UNGA punga wewe.Mbona tuwe na hasira dhidi ya watu wasio na uhuru wa kujieleza? On the contrary, tunawahurumia!
Wewe zinjathropus nyie mlikuwa mnasema gharama ya maisha lazima iwe juu huko kwenu kutokana na uchumi wenu ni wa kibepari kwamba price is determined pale ambapo demand and supply meet, sasa iweje mnataka ujamaa kwamba serikali iamue bei, hivi mnaelewa mnachokitaka nyie mapunga?Sasa tukisema ni kuhusu high cost of living in nini huelewi? Wewe unaweza kununua hiyo mafuta na unga kwa bei ya juu kuliko hata hii yetu but you won't do anything about it coz huo uhuru wa kujieleza hauna. Alafu uko hapa kupiga kelele dhidi ya wakenya wanaondamana dhidi ya gharama ya juu ya maisha!!