Eti nguo za kariakoo 🤣🤣🤣🤣 nyinyi muna viwanda gani bana mambo yanawaumbua sasa hviNdio Nilikuambia utashudia aje wakati unanunua nguo kuu kuu kariakoo? Anza kuvaa designer clothes, utakutana na manguo nyingi sana za Calvin Klein, Tommy Hilfiger, Levi's nk ambazo zimetengenezwa Kenya. Umesikia bongolala?
Eti kesho wanajidai watafanya "maandamano ya amani" kulalamikia hali ngumu ya maisha😂😂😂... mambo yanawaumbua sasa hvi
Wacha wapasuane kwanza ili tuendelee kujenga nchi na kuwauzia chakula na bidhaa kama zote alaf baadae tutaelewana vzr 🤣🤣🤣🤣🤣Eti kesho wanajidai watafanya "maandamano ya amani" kulalamikia hali ngumu ya maisha😂😂😂
Kuna kitu unafaa ujifunze 🤣🤣🤣👇👇Ndio Nilikuambia utashudia aje wakati unanunua nguo kuu kuu kariakoo? Anza kuvaa designer clothes, utakutana na manguo nyingi sana za Calvin Klein, Tommy Hilfiger, Levi's nk ambazo zimetengenezwa Kenya. Umesikia bongolala?
Jamaa wana- agri output ya $29 alafu wanaonekana kwenye ramani za aibu aibu..
Hapo hypoglycemia full yuko disorientedKwanza ushakula? Mana nsije nkawa naongea na mnuka njaa hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2019 data shame on you.
Jibu hili hapaJamaa wana- agri output ya $29 alafu wanaonekana kwenye ramani za aibu aibu..
Watuambie hua wanalima vidole ama nn
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sawa.Nenda Athi River EPZ, you'll take back your words
Samahani Boss unaweza kutupa ushahidi juu ya hilo.Tanzania's textile industry haiwenusa ya Kenya hata robo. Mibongolala kwa kujiliwaza hawajambo
Aisee haya ni maisha magumu sana kwa mwanadamu haipendezi kuichekea hii kitu, tusiwacheke sio vizuri.wakundustan kwa usafi mnaongoza dunia
View attachment 2558140View attachment 2558141View attachment 2558142View attachment 2558144View attachment 2558145View attachment 2558146View attachment 2558147View attachment 2558148View attachment 2558150View attachment 2558151View attachment 2558152View attachment 2558153View attachment 2558154View attachment 2558155View attachment 2558156View attachment 2558157View attachment 2558158View attachment 2558159View attachment 2558160View attachment 2558161
Unaleta takwimu za 2002? Kesho nenda kwenye maandamano ya "baba"😂Jibu hili hapa
View attachment 2558268