Ya Tanzagiza sio maintenance π€£π€£ππ€£. Alafu kwa kukata umeme kwani ulitaka maintenance ifanyika ikiwa watu wanatumia stima? Umepeleka akili wapi chokoraaππππ€£.
Ebu tuonye notice like this from TANESCOπππ€£.
Nenda kwenye maandamano wewe nyang'au na sufuria lako. Labda Ruto atashusha bei ya ungaππ€£π€£Mambo ya Kenya inawaumiza kuliko wakenya wenyeweπ€£ππ
Ya Tanzagiza sio maintenance π€£π€£ππ€£. Alafu kwa kukata umeme kwani ulitaka maintenance ifanyika ikiwa watu wanatumia stima? Umepeleka akili wapi chokoraaππππ€£.
Ebu tuonye notice like this from TANESCOπππ€£.
Wakaandamane kwanza wapasuane vzrπ€£Nenda kwenye maandamano wewe nyang'au. Labda Ruto atashusha bei ya ungaππ€£π€£
Tanzagiza is the king of blackouts [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].
Ya Tanzagiza ni mgaoπππ€£π€£.Kuna sababu nyingi ya umeme kukatika inaweza ikawa maintenance moja wapo au transformer kuripuka au shida yoyote inayohusiana na umeme nakupa mfano hapa dar wanabadilisha sana nguzo kupisha ujenzi wa BRT phase 2 and 3 so unataka watoe nguzo bila kukata umeme au? Shida yenu nyinyi ni kujifanya mahuma matatizo wakat kunamamtizo yaliokubuhu na hayana tiba π€£π€£π€£π€£π€£
That is only for failed state, even hunger is for maintenance, isn't?Za Kenya ni maintenance, za Tanzagiza watu hawajui penye zinaenda[emoji23][emoji1787][emoji23]
Ours will cross 7000MW by the end of this year [emoji2]
Hapa vipi?Ya Tanzagiza ni mgao[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787].
2019? Pole sanaπ€£π€£ππ€£.That is only for failed state, even hunger is for maintenance, isn't?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizo danganya nazo nyanyako na Babu yakoπ€£ππ€£Ours will cross 7000MW by the end of this year [emoji2]
Hii itasaidia tanzagiza kutokuwa na blackouts mara kwa mara?πππ€£π
Halafu watakuambia wana barabara nyingi kuliko Tz.Road maps without map. Hii ni kwa wakenya tu. Can you show us your road network map?
View attachment 2554933
GDP ya mikopo hiyo.What is the price per unit?, is it affordable for household purposes?, Will it stimulate your manufacturing sector or discourage investments, those are very important questions to ask yourselves before chest thumbing.
I hope by now majority of you cΓ n connect your GDP and high cost of living and hunger in Kenya. Why there is disconnection between big GDP and poor standard of living in Kenya. The higher the GDP, the higher is the number of people who can't afford to buy food.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tweets zako ni za 2011, 2016, 2011, 2011 na 2017. Hata huna aibu kupost vitu za za miaka kumi nyumaπ€£π€£π. Mimi nawapostia za Jana na Leo wewe unapost za 12 years agoπ€£π€£ππ€£Maintenance na watu wanakatiwa umeme ovyo π€£π€£π€£π€£ ww unajuaje kama ya tanzanian sio maintenance ??
ππππππππ
Hiyo GDP mpaka deni la trillion 10 lipo included mzee wa 0 renewable energyOpposition MP saying anything to remain relevant. The reality tells a different story.
GDP 2015
Kenya - $70 B
Tanzania - $47 B
Gap - $23
GDP 2023
Kenya - $117
Tanzania - $84
Gap - $33
Mnawauzia umeme kupitia wapi? Ama mtakuwa mnabeba na meli?πππ€£πAfrica yote bado sana kwenye swala la umeme yani bado sana kua na umeme wa uhakika hio south africa yenyewe inalia na tushasaini kua tutawauzia umeme juzi itakua hio kenya nchi inalaana kila kona ππππ
Eti electrical disturbance ndio kitu ngani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We rationalize our power like Tanzania. Power blackout is the order of the day in Tanzania.
2019 again?π€£π€£ππ€£