Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naona umeamua kujiburudusha angalau......tembea tembea jijini umalize ushamba ulionao😀😀😀
Sioni cha maana naona vibanda vya sausage na mayai ya kuchemsha ndo vimejaa mjini , ivi kuna usalama ki afya nikila ivi vitu yani kuhusu kipindupindu
 
Sioni cha maana naona vibanda vya sausage na mayai ya kuchemsha ndo vimejaa mjini , ivi kuna usalama ki afya nikila ivi vitu yani kuhusu kipindupindu
tembea ndugu...umeona hivyo vibanda sababu ndipo unaweza ku afford mtanzania toka LDC...ila tembea city centre na upperhill ukajionee hata kama huwez uka afford...mijengo ambayo nataka ukazione ni hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…