NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,281
- 19,618
Weka shule kijana. Unahaha sana to justify stupid things. Leo usipo weka shule kumi lazima nikuite mbwa.Hii hapa ni theatre ya the most expensive school in Tanzania. 🤣 🤣 🤣
Hebu fananisha na ya MPESA School - shule ambayo kama hujiwezi haulipi school fees. Na bado wanataka tushindane. 🤣🤣🤣
CC Geza Ulole chongchung
Arguing with tanzanians is a waste of time...Hii hapa ni theatre ya the most expensive school in Tanzania. Viti za plastic. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hebu fananisha na ya MPESA School - shule ambayo kama hujiwezi haulipi school fees. Na bado wanataka tushindane. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CC Geza Ulole chongchung
Mudasa Academy....my bro schooled thereYani kwa my village kunazo. Hii hapa iko kwa village yangu huko ushago. Ingekuwa Bongo wangekuwa washaipost eti ishindane na Aga Khan Mombasa ama MPESA School Thika. [emoji28] [emoji28]
View attachment 2551915
utangoja msee [emoji1787]Nataka mbongo anionyeshe Theatre kama hii kwa shule yao.
Kwisha habari yenu. Nendeni mkashindane na Uganda, Somalia au South Sudan.Arguing with tanzanians is a waste of time...
Wakenya bhana. Sasa huko Saudi Arabia wanaenda kufanya nini? Siyo kazi za ndani kweli?Jinsi wakenya wanavyodhalilishwa uarabuni
https://www.facebook.com/
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Anakwambia iko ushagoo muulize iko ushagoo sehem gani 🤣🤣🤣🤣 unless aseme kisumu sio city na vihiga sio townHii shule tayari uneshaweka. Je tuite hii ni inferiority complex? Acha kulalama weka shule kumi zilizojengwa baada ya uhuru wa kenya. Tunakusubiri
Akili yako ndipo ilipoishia hapo 🤣 wivu na ushamba ndio unaokusumbua hii ndio shule ghali kuliko zote east africa mark mark my wordsHadi planning ya international school ni unplanned!!!!
Shule imemshinda kaingia kwenye theater 🤣Weka shule kijana. Unahaha sana to justify stupid things. Leo usipo weka shule kumi lazima nikuite mbwa.
Sasa wewe pia unaamini kwamba both South Africa and Egypt wako na masikini wengi kuliko Tanzania kulimgana na ile map? Mbona hampendi kuelimishwa?
Naomba umwite zwazwa plz 🤣🤣🤣Weka shule kijana. Unahaha sana to justify stupid things. Leo usipo weka shule kumi lazima nikuite mbwa.
Wanaenda kuiba tu ni wezi sana hao jamaa ndio maana wanachungwa kama ng'ombe🤣Wakenya bhana. Sasa huko Saudi Arabia wanaenda kufanya nini? Siyo kazi za ndani kweli?