Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shule ya mfano ya serikali Dodoma under final touches

images - 2023-03-15T051942.046.jpeg
images - 2023-03-15T051747.868.jpeg
images - 2023-03-15T051759.746.jpeg
images - 2023-03-15T051813.699.jpeg
images - 2023-03-15T051826.064.jpeg
images - 2023-03-15T051915.011.jpeg
images - 2023-03-15T051902.285.jpeg
images - 2023-03-15T051926.116.jpeg
 
Yani hii shule hata huku haijulikani lakini huwezi fananisha na huu upuzi mabongolala wameshinda wakipost humu. Hawa jamaa hii ligi hawaiwezi. 😅 Sasa hii ndio Chungchong anataka afananishe na huu uchafu hapa chini. 😅😅

2019-01-11-jpg.2551854
tafuteni kitu kingine cha kushindana na Tanzania lakini sio kwenye shule, unganeni hata na Uganda uliosema ndio level yenu bado tunawapiga tu, mpaka sasa points ni Tanzania 10, kunyaland 1
 
tafuteni kitu kingine cha kushindana na Tanzania lakini sio kwenye shule, unganeni hata na Uganda uliosema ndio level yenu bado tunawapiga tu, mpaka sasa points ni Tanzania 10, kunyaland 1
Yani tunapost ma Range Rover mkipost ma Probox na bado umakazana tu mmeshinda kisa unapostt picha nyingi. Yani chochote kile tu bora shule unatupa humu. 😅 😅
 
We've failed here and there cause we're cApitaLIsts and you're coMmuNISts ....

Nye nye nye!

Funny how the communists are still better than you at CAPITALISM (which you'll LOVE to claim you are like it's an honour) in all the areas that matter.

CApitaliSTS and you can't even obtain the fundamentals that make up the foundation of the capitalist ideology you worship.
Idiots.
Capitalists wenye kufa njaa tangu uhuru! Hawa ni "Hungerist" tu!
 
Yani tunapost ma Range Rover mkipost ma Probox na bado umakazana tu mmeshinda kisa unapostt picha nyingi. Yani chochote kile tu bora shule unatupa humu. 😅 😅
Bado nina shule zaidi ya 400 hapa, ninyi na hivyo vigofu vyenu 10 mlivyowekea kwa kurudiarudia ni uchafu mtupu na pumzi imekata
 
So far nimeona shule mbili pekee za Tz zilizonifurahisha. Hizi zingine kawaida sana. Hiyo UWC Arusha na Black Rhino. Hizo pekee.
 
Bado nina shule zaidi ya 400 hapa, ninyi na hivyo vigofu vyenu 10 mlivyowekea kwa kurudiarudia ni uchafu mtupu na pumzi imekata
Shule 400 uchafu tupu. Tukiamua kupost shule za kawaida humu si mtatoroka? Ikumbukwe Kenya kuna shule za upili 10,400 wakati Tanzania mnazo 5,200 pekee. Yani exactly nusu ya Kenya.
 
Shule 400 uchafu tupu. Tukiamua kupost shule za kawaida humu si mtatoroka? Ikumbukwe Kenya kuna shule za upili 10,400 wakati Tanzania mnazo 5,200 pekee. Yani exactly nusu ya Kenya.
Hizo 10k ziko wapi? au ndio hizo 5 mnazzopost toka juzi?
 
Shule 400 uchafu tupu. Tukiamua kupost shule za kawaida humu si mtatoroka? Ikumbukwe Kenya kuna shule za upili 10,400 wakati Tanzania mnazo 5,200 pekee. Yani exactly nusu ya Kenya.
Mzee mbona unalia sana. Umeumia kujua Tanzania inashule bora kuliko kenya?

By the way. Shule zote mlizoweka zilijengwa miaka ya 1920s Serikali ya kenya haijajenga shule yoyote.
 
Back
Top Bottom