Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DMaj2PsWAAE9v2e.jpg


DMaj4PzX4AEAQ5B.jpg


DMam75jX4AA6vjB.jpg
 
ukiona hivyo fahamu kwamba dar es salaam ya miaka hii imewashika wakenya kwenye makalio...hawana pa kupumulia.

Unapocheza ngoma angalia jua usije ukaicheza ngoma ya mchana usiku maana utashangaza umati,,,,,, nyie bado sana wala hatukoseshwi usingizi na Tanzania.
 
Wazo, NHC Wangefanya upgrades ya maeneo ya tandale na manzese na kupafanya kua sehemu nzuri na ya kisasa kwa vijana kupanga nyumba za kuishi 7bu ni karibu na mjini na ni makazi duni karibu na CBD. ...

As a know vijana wengi tukimaliza shule hua sehemu ya kwanza kuifikiria ni Dar na sehemu Za kupanga hua Ni mbali na mjini usafiri changamoto....

Manager wa nhc angelichukua hili wazo mji ungependeza zaidi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Business news: KETRACO partners with Liquid Telcom to expand fibre optic through transmission lines. The first towns to be implemented are about 15 including Meru, Eldoret, Machakos, Wote, Lamu and more.
 
Hahahaha, In fact Chinese and Italians speak very bad English, unfortunately no any stupid Kenyan ever complained, but akiongea kizungu broken mtz we can't have piece. WTF
The problem is, you take pride in stuff you ain't good at let alone the best in. Just like the very existence of this thread. Wanting to proof the impossible, get it?
 
Back
Top Bottom