President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Unaongea maneno matupu. Wewe ni ovyo. Kenya ilikuwa bora miaka ya 80s lakini kwa sasa ni mdebwedo tu.IST ni ovyo sana. Nimeona picha zake humu haiwezi gusa Brookhouse, leave alone ISK. Halafu usiangalie how expensive a school is, angalia quality. Sasa ukilipishwa pesa nyingi ndio shule ni nzuri eti? MPESA School ni free, utasema hizo shule zenu vumbi zimeishinda kisa school fees? Alafu IST chenyewe kishule kidogo. Angalia ISK, St. Andrews Turi, Peponi school alafu uniambie. Halafu Brookhouse is not even the most expensive in Kenya kama ni school fees unataka kuangalia. Nadhani Kenya ISK ndio the most expensive ila kwa quality nikifananisha IST na internation Schools za Kenya hiyo IST bado sana.
ISK School Fees
View attachment 2548566
Tukiangalia kifedha ISK ndio the most expensive in the region. IST wanalipisha kuliko Brookhouse but ukiangalia value for money, Brookhouse iko mbele zaidi. Hiyo IST iko overpriced. Hapa Kenya hata top 10 haifiki kwa international schools. Hizi shule zimeishinda
1. ISK
2. Braeburn Lavington
3. St. Andrews Turi
4. Peponi School
5. Braeburn Garden Estate
6. Hillcrest
7. Greensteads
8. Rift Valley Academy
9. Rosslyn Academy
10. Nairobi International School
Mtadhalilika Sana, hawa hapa wakenya wakiendelea kudhalilikaUtalia sana hii hapa ingine coming up 30FlrView attachment 2548359View attachment 2548372View attachment 2548374View attachment 2548373
Wewe unataka kuwakimbiza humu. Halafu si nilisikia umekula ban JF imekuwaje tena?Tushatoka huko kwenye majengo, tunafanya miradi yenye tija, raia hawali maghorofa bali wanahitaji miradi kama hii yetu, kwa huo ujinga wenu mtaendelea kufa njaa mpk kiama [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2548385View attachment 2548386View attachment 2548387View attachment 2548388View attachment 2548389View attachment 2548391View attachment 2548392View attachment 2548393View attachment 2548394
Ndio maana wanakimbia [emoji38][emoji38]Shule yao ya gharama Kenya nzima ni TZS 42mil wakati IST ni zaidi ya mil 80 kwa mwaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaongelea quality ipi?IST ni ovyo sana. Nimeona picha zake humu haiwezi gusa Brookhouse, leave alone ISK. Halafu usiangalie how expensive a school is, angalia quality. Sasa ukilipishwa pesa nyingi ndio shule ni nzuri eti? MPESA School ni free, utasema hizo shule zenu vumbi zimeishinda kisa school fees? Alafu IST chenyewe kishule kidogo. Angalia ISK, St. Andrews Turi, Peponi school alafu uniambie. Halafu Brookhouse is not even the most expensive in Kenya kama ni school fees unataka kuangalia. Nadhani Kenya ISK ndio the most expensive ila kwa quality nikifananisha IST na internation Schools za Kenya hiyo IST bado sana.
ISK School Fees
View attachment 2548566
Tukiangalia kifedha ISK ndio the most expensive in the region. IST wanalipisha kuliko Brookhouse but ukiangalia value for money, Brookhouse iko mbele zaidi. Hiyo IST iko overpriced. Hapa Kenya hata top 10 haifiki kwa international schools. Hizi shule zimeishinda
1. ISK
2. Braeburn Lavington
3. St. Andrews Turi
4. Peponi School
5. Braeburn Garden Estate
6. Hillcrest
7. Greensteads
8. Rift Valley Academy
9. Rosslyn Academy
10. Nairobi International School
11. Brookhouse
BothUnaongelea quality ipi?
Quality of education au buildings?
kichaa huyo amesahau 😂😂😂😂Nilimwambia kama anataka battle ya public schools aseme asifanye kmy kmy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan wakenya huwa mnakula wapi mkisafiri? Au ndo mwendo wakubeba mikate kwenye mabegi[emoji28]
View attachment 2548187View attachment 2548188View attachment 2548189View attachment 2548190View attachment 2548192
Safaricom MPESA Academy - A public School. This one must be the best public school in Africa in terms of infrastructure. Hapa hata university za bongo haziguzi in terms of quality
Render
Reality
View attachment 2548380
Wabongo hii sii stadium, hii ni public school
Bongo nzima haina indoor arena, hapa public school iko na indoor arena
FYI sii shule ya matajiri hii, ni shule ya masikini wasiojiweza kifedha.
Hii ndio shule pekee ya Bongo yenye imeweza kwa zote mlizopost humu. Hii naikubali.