Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole mwanangu 😂😂😂
 
Jamaa tukiwaambia kwamba Tz watu wanasafari kinoma hawataki kuamini.. imagine licha ya kampuni nyingi za Mabasi zilizopo Tanga zinazofanya safari zake Tanga-Dar pekee lakini leo wakati nipo kwenye Kampuni ya Mabasi ratco tayari kwa ku book ticket yangu kurejea mjini,muuni nikakutana na hii ratiba ya safari za TA-DSM dailyhii ni ratiba ya ratco pekee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…