Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye sekta ya Maji Tanzania tuacheni kabisa,Mama anamtua Mwanamke Mwenzie ndio Kwa vitendo.
 
Karibu kwenye Uzi
 
Pia kuna hii hapa, tafadhali Wakenya wote naomba mpitie hapa, yn vile vijumba vya mchongo vya ka Nairobi havitii pua hapa, tuliwaambia hii miradi kuna siku itaisha [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…