News zenu kwetu sisi ni comedy during ample time i normally soothes myself with Kenyan news."Hatuna nchi" yet you be following our news so much, I even get our news from you... even I hardly watch TV News, last time I did was last year...
Vipi yesu wenu mmeshamsulubisha au bado?Si mnapenda kufuatilia Kenyan News wadau [emoji1787]
Kila mtu abebe msalaba wake.Aisee Ile kauli ya mh. SSH imewa.uma wakenya![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima iwaume Sana, wazembe Sana hawa jamaaAisee Ile kauli ya mh. SSH imewa.uma wakenya![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3 old aircarfts owned by KQ
Aisee Ile kauli ya mh. SSH imewa.uma wakenya!🤣🤣🤣🤣
Ndio maana kulikuwa na deliberate move ya kumsifia Samia kwenye Birthday yake kumbe ilikuwa ni strategy ya kupitisha ‘bakuli’? 😅😅Aisee Ile kauli ya mh. SSH imewa.uma wakenya!🤣🤣🤣🤣
Naskia mama kawachomolea nje 🤣🤣🤣 walitaka tuwaekee guarantee ya kuagiza mafuta nje kwasababu hawana pesa z kigeniNdio maana kulikuwa na deliberate move ya kumsifia Samia kwenye Birthday yake kumbe ilikuwa ni strategy ya kupitisha ‘bakuli’? 😅😅
I sensed that anyways, ukiona hawa jamaa wanakusifia jua wanataka kukushika matako, stuka haraka sana na kimbia😂😂
Na hii ni dalili kua hawa jamaa mawazo yao mengi walikua wakifkiri dunia haizunguki yani mawazo yao wanahisi tanzania au uganda ni zile za 90s 😆😆 yani hawana exposure ya kujua dunia iko wapi na imefika wap yote ni kwasababu wanadanganywa na wanasiasa ambao wanajitajirisha
Nicxie nairobae NairobiWalker mwathadan haya ndio mambo muongelee na muone wapi kenya inaelekea