Ata uchore map.., aerial views iko clear..., wewe endelea kubweka hadi basi haubadilishi lolote mzee.., Dar CBD ni moja tu, alafu sasa hiyo soko ya Kariokoo,ππππππππππUnawazimu wa kichwa wewe aliekudanganya kariakoo ni sehem ya CBD ni nani ????
CBD hii hapa πππππ
Down town yenyewe ni part ya CBD kama umabisha sema nikuletee ushahidi
View attachment 2542316
Sio mm ni google earch π€£π€£π€£ sasa kwann unapanicAta uchore map.., aerial views iko clear..., wewe endelea kubweka hadi basi haubadilishi lolote mzee.., Dar CBD ni mija tu, alafu sasa hiyo soko ya Kariokoo,ππππππππππ
Mtu wetu syndromenchi yenye chama moja hamtawai jua vile mnatafunwa kamwe., angalau mama aliumbua porojo za muendazake za kutokukopa.., vumilia na hilo taifa lenu hovyo, wachana na ya Kenya, huku hamfiki karne hii.., bado mko kwenye giza, ndio maana hamsongi na hamjui ni nini tatizo..,
Ndivyo Kariokoo ilivyo na Dar CBD..., ni downtown ya Dar CBD kabisaaaπππππππππππDowntown ni sehwnu ya CBD nairobi na ushahidi ni huu ππππππ
Na hii ni google earth sio mmView attachment 2542317View attachment 2542318
Down town ni sehemu ya CBD nairobi ila kariakoo sio sehem ya CBD dar sasa unataka kulazmisha sukari kua chumvi π€£π€£Ndivyo Kariokoo ilivyo na Dar CBD..., ni downtown ya Dar CBD kabisaaaπππππππππππ
Kila mtu na kwao huko Kunyaland, hiyo sio nchi ni mkusanyiko wa makabila 3 makubwa kuyanyasa makabila yalitobakiHakuna kuumbua chochote alietoka ni CCM aliengia ni CCM kilichobakia ni siasa tu kama kiini macho lakini lao ni moja bro
Bora ya sisi hatuna matabaka na makabila nyinyi ni kalenjin na kikuyu kwisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana munaoasuana kila kukicha
Kakosa jibu anajichekesha chekesha kichizi.., pia mimi nimeona kweli ni slum khaa, mji wa kiislamu Nairobi, hadi rahaπ π π π π π π π π πLeo ndio nimejua kuna slum inaitwa motherland slum eastleigh kaah π€£π€£π€£ππ
Kakosa jibu anajichekesha chekesha kichizi.., pia mimi nimeona kweli ni slum khaa, mji wa kiislamu Nairobi, hadi rahaπ π π π π π π π π π
Ukipata concrete jungle ya kutia pua kariakoo unitag nifunge acc leo leo π€£π€£π€£Kakosa jibu anajichekesha chekesha kichizi.., pia mimi nimeona kweli ni slum khaa, mji wa kiislamu Nairobi, hadi rahaπ π π π π π π π π π
Mbona liko wazi sana, usilie, inabakia pale pale, pengine uichukue uipeleke kwingine, sio hapo kando ya CBD.., ukirusha jiwe kutoka CBD linaanguka katikati ya Kariokoo, pole sanaπππππDown town ni sehemu ya CBD nairobi ila kariakoo sio sehem ya CBD dar sasa unataka kulazmisha sukari kua chumvi π€£π€£
Sasa watu Kila siku mnatukanana na polisi kupiga watu wanaojaribu kueleza shida za wananchi Kama anavyofanyiwa Eric Omondi, nchi haina utulivu ni fujo Kila siku.Mmezubaa mpo mpo tu.., clueless, Mama kaumbua mwendazake, sasa hana lingine, bora siku zisonge.., Tanzania sioni ukombozi wenu hivi karibuni..., wacha sisi tusumbuane hadi kieleweke..., nyie endeleeni kuzubaa vijiweni eti nchi yenye amani na utulivu kumbe ni ujinga wa kutokujua na kuelewa siasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani siku hizi umeishiwa hoja kabisaaa, tweets za 2019 na 2021 ilhali tuko 2023!!, umechoka sana kama jiji la mwanza lilivyo pole sana, pumzika upate nafuu urudi ukiwa fresh na nguvu mpyaπ π π π π π π π ..,Sina muda mchafu bro eastleigh hakuna mtu hajui ni sehemu chafu kuliko sehemu yoyote ukiweka kando slums π€£π€£π€£ na sometime naskia wakiita slum
Sehemu ambayo magorofa yamatope yametapakaa πππ
View attachment 2542304
Umejikaza kujieleza ndivyo unavyofikiria Kenya ilivyo., pole sana.., isolated cases sio picha ya taifa kama unavyotamani ikue wewe, alafu sijaona sehemu mtu amekufa kwa njaa.., ama wewe umeona unijuze na evidence in 2023?.., wachana na siasa zetu zitambe, tunajijua wenyewe, na tutaelewana, nyie endeleeni kuzubaa na hamna lolote la maana..., hauwelewi uchumi ata kidogo..., unakurupuka tu kimandazi, tafuta elimu kwanza kisha uje...,Sasa watu Kila siku mnatukanana na polisi kupiga watu wanaojaribu kuwekeza shida za wananchi Kama anavyofanyiwa Eric Omondi, nchi haina utulivu ni fujo Kila siku.
Huko wafugaji wanapigana risasi na watu kuuliwa, huko kwengine no njaa watu wanakufa, huko Nairobi ni mapambano na polisi. Huko Ikulu wanatumia pesa hovyo for "Entertainment" hadi serikali inafilisika mnaomba Tanzania tuwasaidie pesa za kuagizia mafuta. Hivi ninyi mko na nchi au ujinga mtupu?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Viongozi wa serikal ya sasa na iliyopita wanarushiana mpira upotezi wa Bil 16 za kenya, sijui hazijulikan zilipo..Mbwa kala mbwa ππππ
Hapo sawa, vitu vinaanikwa wazi wazi..., am having a field day, we will iron out all creases in Kenya.., nyoka lazima akue exposed ndio auwawe, kama amejificha nivugumu kumuua.., Kenya iko sawa, ila Tanzania bado sana, your disease is still hidden or covered...,Viongozi wa serikal ya sasa na iliyopita wanarushiana mpira upotezi wa Bil 16 za kenya, sijui hazijulikan zilipo..
Bila shaka ' black mamillionaires/rich politicians' wa kikunya wamekwapua huu mpunga
Huo uchafu ndio hauna nje ya cbd yenu. Ungekuwa nayo ungetuoneshaHuu ni uchafu gani unatuonesha wewe hebu wakat mwengine kueni serious kidogo π€£π€£
Wenzenu wanaiba hela, nyie mnashangilia kuwa na millionaires wengi, wezi wa fedha za ummaHapo sawa, vitu vinaanikwa wazi wazi..., am having a field day, we will iron out all creases in Kenya.., nyoka lazima akue exposes ndio auwawe, kama amejificha nivugumu kumuua.., Kenya iko sawa, ila Tanzania bado sana, your disease is still hidden or covered...,
Spot on, exactly.Huo uchafu ndio hauna nje ya cbd yenu. Ungekuwa nayo ungetuonesha