Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww ni chizi wa aina yake kila siku mm hua nakwambia ww chizi wa aina yake 🀣🀣🀣

So hii ni karikoo au sio 🀣🀣🀣🀣
 
Ww ni chizi wa aina yake kila siku mm hua nakwambia ww chizi wa aina yake 🀣🀣🀣

So hii ni karikoo au sio 🀣🀣🀣🀣View attachment 2541989
Utatumia maneno mingi na emoji milioni moja but that won't change anything. Butterfly hotel lipo Kariakoo and it's well captured in that image you call Ilala. Jitathmini bongolala
 
Butterfly kko hotel ni hii hapa hata map hujui kusoma bwege we 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wewe hujui mpaka wa Kko na Ilala uko wapi so ficha ujinga wako hapa.
 
Yeye kaona tangazo la Butterfly Hotel juu ya jengo lingine kafikiria ni Butterfly hotel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sindio maana namshangaa huyu chizi 🀣🀣🀣🀣 yani amekaza fuvu kabisa anakwambia sio ilala kaaah ila wakenya πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kama hapo ni ilala picha ya butterfly hotel iliyopo Kariakoo inafanya nini hapo?
Nimekwambia hio picha hapo ni ilala sasa unachobishia ww nn?? Au unataka tuseme sio ilala ni kariakoo???🀣🀣🀣🀣
 
SSH anasema kuna vinchi vinaomba tuwawekee dhamana ili wapate fedha za kigeni waagize mafuta. [emoji23][emoji23][emoji23]

Tuna fedha za kigeni za kutumia miezi minne mbele, kuna vinchi hata za kutumia wiki hawana.
angongea hivi Magufuli wangesema mropokaji anaharibu diplomacy sababu kila mtu anakijua hicho kinchi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kawaida yenu mkishashindwa kwenye hoja. Lazima neno njaa na slum litamkwe to help lick your wounds
 
Na hio inaonesha ni bango limewekwa kwenye gorofa lakini sio butterfly hotel ilioko kariakoo tumia tu akili ya kuzaliwa kujua hilo 🀣🀣🀣🀣🀣
Bongolala, hilo ni jengo lenyewe hata rangi nyekundu iliyotumika kwenye ile picha uliyopost ndio pia imetumika hapo juu ya jengo. Wacha ubishi za kijinga
 
Siku hzi parkland iko westland sinilikwambia mm ukitoa CBD wetsland na upperhill nairobi imekwisha unakaa kulia ovyo hapa 🀣🀣🀣🀣🀣
View attachment 2541980
Kwa jinsi unavyoongea, is it also right to say that kijiko ya nyama ipo posta just because they are captured in one picture?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…