Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawajui Rostam ndo alikuwa bilionea wa kwanza Tz.
 
Mambo ya msingi kama haya hawataki kuskia pesa zinaibiwa zinatoroshwa na wao wamebakia na mentality ya GDP huku dollar zikikauka mifukoni mwao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani tukubaliane kwamba wakenya wako na tatizo la "mental retardation".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii wanapita wima ni kama hawajaiona. if you listen carefully, you'll realize the tone of that politician. So full of hatred towards Kenya
We don't have time na vichwa maji hao! Why waste time listening to a person who think GDP measures the success of the economy!

Kichwa maji huyo
 
We don't have time na vichwa maji hao! Why waste time listening to a person who think GDP measures the success of the economy!

Kichwa maji huyo
Ameingelea hadi kuhusu meli yenu kutengenezwa Kenya bongolala. Mbona unajifanya kiziwi?
 
Nilizoea kuskia vumbi la congo kumbe pia kuna vumbi la kenya 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenya ni nchi ya hovyo sana hawana secret service? kabla ya kufanya intervention ya aina yoyote walitakiwa wawe na taarifa zote za bandits na hapo ni kutuma undercovers wa kutosha kukusanya information, TISS ipo mpaka kwa wamaasai, wakulima, bodaboda, wauza mboga, Tanzania imenufaika pakubwa sana na security formations za kisoviet ndio maana Nyerere alikua anashtukia coup d'etat hata kabla hawajaanza mipango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…