Mkuu, Malema tatizo lake ni hasira na mihemuko na kuwachukia wazungu kupitiliza, lakini ana "vision" Sana, na anajua nini wananchi wanataka na jinsi ya kuwafikisha huko.Sasa malema na mihemko yake huyo ndio simtaki kabisaa..
Mpinzani wangu alikuwa ni Morgan Tsvanherai walau na Tendai Biti kutoka Zim.
Hamna kitu unajua wewe ni wivu na chuki pekee, kwani unadhani sijui tanzania pia, mimi nikona gari ya tz plates, swali gari ni yangu ama ya mtanzania?Wivu wa nn wakat gari ina plate number ya uganda so wivu unahusika vipi hapo??[emoji1787][emoji1787]
Nyinyi ndio munachukia kuona tanzania imeinuka kwa speed ya ajabu within 10 yrs ndio maana hamulali sasa hvi munakesha na tanzania midomoni mwenu [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Atleast ningekua siijui kenya kweli ungenidanganya lakini najua mpaka rangi za chupi zenu just imagine [emoji1787][emoji1787]
Hao waarabu wanakuanga na asili ya kenya na tanzania, we know their ways, brother mmoja mtanzania mwingine mkenya,soko na opportunities ndio muhimu kwao same as buscarHvi ww unajua tahmeed ni mtanzania kiasili na je unajua mama yake mzazi anaishi tanga na kajengewa na tahmeed nyumba kubwa ya kifakhari sana pale tanga au huna taarifa hio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ataachaje kuja kuekeza tanzania ikiwa ni kwao kiasili na sio bus huku ana mpaka truck logistic company inaitwa tahmeed
Kazi yenu nyinyi ni kujisifia kwa vitu si vyenu hii tabia acheni na mubadilike kwani dunia ishabadilika zaman na mutambue dunia hii hata mtoto wa mwaka mmoja hamuwez kumdanganya [emoji14][emoji14][emoji14]
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ๐คฃ๐คฃ๐คฃ leo nimecheka sanaHamna kitu unajua wewe ni wivu na chuki pekee, kwani unadhani sijui tanzania pia, mimi nikona gari ya tz plates, swali gari ni yangu ama ya mtanzania?
wewe niambie mbona mna import gari ya 2007 in 2023 acha kuhepa ๐คฃRudi kwenye mazungumzo kwanza na uelewe kwanza tulikua tunazungumzia nn kenge wa blue wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hata huyo joho governor wenu asili yake ni tanzania tanga labda nikupe elimu ulikua huijui ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ na kwao hasa ni tangaHao waarabu wanakuanga na asili ya kenya na tanzania, we know their ways, brother mmoja mtanzania mwingine mkenya,soko na opportunities ndio muhimu kwao same as buscar
Rudi kwenye maongezi utaelewa kwann nimepost hio trailer imebeba magari ๐คฃ๐คฃ unakuja tu unarukia maada ambayo mwenzio kidogo imtoe busha hapawewe niambie mbona mna import gari ya 2007 in 2023 acha kuhepa ๐คฃ
WHAT ARE THESE AGAIN [emoji1787]
๐คช๐คช๐คช๐คช Kunyaland is collapsing na wamekuja Kwa baba Yao Baba wa EAC kuomba Msaadawewe niambie mbona mna import gari ya 2007 in 2023 acha kuhepa ๐คฃ
why did you reply to this, it is totally irrelevant!๐คช๐คช๐คช๐คช Kunyaland is collapsing na wamekuja Kwa baba Yao Baba wa EAC kuomba Msaada
.
Hivi Ile GDP imeishia wapi?
Endelea kujifariji na GDP ya makaratasi ๐๐๐๐why did you reply to this, it is totally irrelevant!
In the spirit of irrelevancy, pia wewe kula hii
Wamezoea fossils gari za over 30 years old. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃMna import aje Cayenne ya 2007 model,kwani age limit ni 20 years? Tanzania surely ๐๐View attachment 2535577View attachment 2535578
Age limit yenu na kinachoeldelea kwa ground are totally contrasting ๐คฃRudi kwenye maongezi utaelewa kwann nimepost hio trailer imebeba magari ๐คฃ๐คฃ unakuja tu unarukia maada ambayo mwenzio kidogo imtoe busha hapa
Wivu zako ndio zakijinga tu, anything kenyans have you want to belittle , wewe unakuanga mswahili proper, endelea kuwashwa mama[emoji1787]Hata huyo joho governor wenu asili yake ni tanzania tanga labda nikupe elimu ulikua huijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kwao hasa ni tanga
Gari ni ya uganda ila roho inawatoka nyinyi kaaah yani pilipili ale mseven alaf kuwashwa uwashwe wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] badilikeni dunia ishawatupa mkono sasa hvi na sifa za kijinga ambazo sio zenu acheni ndio maana leo munaumbuka kila kona