ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,877
🤪🤪🤪🤪Una takwimu hapo we kondoo wa Kijijini ntwara.? Unavyopost post ujinga kutokea huko porini kwenu unatakiwa ujue kuwa kuna watu tumeshaishi karibu kila mkoa wa hii Tanzania
Hili dafu litafika TZS 10 muda sio mrefu. Inabidi waweke godoro la remitansi chini lisiangukie pabaya.Now is 18.1 [emoji38][emoji38][emoji38]from 23 hii dunia kaaah
View attachment 2531537
Tuliwaletea report hapa za IMF na WB wakisema Kenyan currency is overvalued by more than 30% and somehow managed wakabisha sana. Sasa leo reality ime catch up nao vibaya mno. Shiling dropping from 99 shs to the dollar wakati wa hizo reports mpaka 137 as we speak which is more than 30% devaluation and we dont expect it to hit the trough soon.Ndo utajuwa uchumi wa makaratasi
Tulikua tunazungumzia kuhusu Gesi lakini🤪🤪🤪🤪
Kukimbia ukweli hakutakusaidia wewe mbumbumbu..
Hata ungeishi Kila Kijiji ila ukweli ni kwamba watu mil.62 kaya chini ya mil.4 ndio Zina visimbuzi,ishara ya umaskini
🤣🤣🤣 Mkondo mkubwa wa umeme utapita katikati ya nyumba
Mwenye Nguvu Mpishe…..😂😂😂
Unapoteza muda wako tu bro 😆😆😆Tulikua tunazungumzia kuhusu Gesi lakini
🤣🙌🙌Unapoteza muda wako tu bro 😆😆😆
Huwa siongei vitu ambavyo Sina uhakika navyo.(26.3 + 63.7=90Tulikua tunazungumzia kuhusu Gesi lakini
Hii inaitwa chafya ya mpishi kiungo kwa walaji 🤣
Kwahiyo Kuwa Na kisimbuzi ndio Utajiri?🤪🤪🤪🤪
Kukimbia ukweli hakutakusaidia wewe mbumbumbu..
Hata ungeishi Kila Kijiji ila ukweli ni kwamba watu mil.62 kaya chini ya mil.4 ndio Zina visimbuzi,ishara ya umaskini
A very useless place to live
Jambo jema Watuletee Mafuta Kutoka Urusi waache Uoga Wakijinga
Acha ujinga,sensa inaeleza idadi ya kaya.Kwahiyo Kuwa Na kisimbuzi ndio Utajiri?
Kwanza Unapaswa Ujue kuna Baadh ya watu Wanatumia Cable Hasa Mijini
Mwanza,Dodom,Tabora wengi wanatumia Cable.
Kingine Umepiga hesabu Kivipi Kusema Watu 62m wanao tumia Kisimbuzi ni 4m!!
Yaani Umejumlisha Watoto /Familia Nzima kwa 4m ?
Mimi nawatoto 2, Mfanya kazi wandani,Mke Jumla 5
Ulitaka tuwe na Visimbuzi 5
Ili Tuonekane si Fukara eti!?
Kwenye hao watu 64m Kuna familia zina watu 5-10
Usife kwa wivu kijanaA very useless place to live