Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna Nairobi halafu kuna other African cities
personally I love nairobi sky views
Mzungu ali design huo mji since day one
Kudos Kenyans kwa kuendeleza!!!
Uzalendo humtia mtu upofu. Ni haki yako kuisifia nchi yako japo unajua fika kuwa mji gani uliokwisha pindua meza Nairobi.
 
He knew diaspora wa Bongo kwa uzalendo wao watatumia, lakini anawapataje hawa wapenda sifa? Ngoja awapelekee kwao na lugha tamu wampe hela……na wameingia king wanajisifu[emoji28][emoji28] jinga sana hizi jamaa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe kweli ni mlevi 🀣🀣 we unauzungumzia Tz ya miaka gani.?.. juzi kati tu Mwanangu alisimamia kazi ya sales ya hii taifa Gas ambapo mtungi mdogo uliokwisha jazwa uliuzwa 33000 .. mpaka mamikoa ya simiyu uko na walifanya vizuri .

Just to let you know Gesi inatumika karibu kila nyumba kwasasa .. unless wewe unaeishi interior uko porini
 
Huyo ni dalali wa mabati atajulia wapi mambo ya cooking gasπŸ˜…
kama hausiki na mabati mwambie apinge😁
 
Hizo takwimu hapo sio zangu ni za Wizara ya afya na nishati.

Refer siku wanazindua Mpango wa Nishati safi ndipo waliotoa hizo takwimu..

Kama Nchi yenye watu mil.62 lakini wenye visimbuzi ni chini ya mil.5 hapo wewe unaonaje? Ndio wataweza mtungi wa gas?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…