Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante sana kwa kutimiza ahadi. If you ever think running for election hook me up ntakuwa kwenye kampeni team yako[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pamoja Mkuu. [emoji41]
 
Hapa sina Uhakika ila kama niliwahi sikua Nyuma kwamba reli itapita chini na magari Juu so sijajua ni SGR kwenda Bandarini au MGR. tutaconfirm
Hapo itakuwa ni MGR maana imehamishiwa huko... Port link ya SGR itapita juu.
 
So you think competitors will be happy?
We don't give a *** whether the competitors are happy or not. The most important thing is the gas is readily available and cheap. Who gets what's is not of importance to us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…