muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
I see it getting stronger! Mpaka mwisho wa mwaka tutaona imefika wapi.bila sioni dollars ikishuka vs TZS maana demand ya dollar hapa Tanzania ni kubwa sana. Ila hizi hela zingine tutaziburuza sana![emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
AFRICA-FX- Kenya, Uganda, Ghana currencies expected to weaken
Kenya's shilling, Uganda's shilling Ghana's cedi and Zambia's kwacha are expected to weaken against the dollar in the week to Thursday, while Tanzania's and Nigeria's currencies are forecast to hold steady, traders said.www.reuters.com
Tanzania shilling will remain steady [emoji123][emoji123]
Sijawahi kujibu post yako hata Moja ndani ya miezi 7 iliyopita, unaonekana umechanganyikiwa kwasababu unagombana na watu wengi hapa JF, kwahiyo unahisi Kila mtu ni adui wako.Utaratibu wa matusi na lugha chafu ni wewe ndio unaupenda,
Napokua natoa hoja zangu mnanijibu kwa matusi kwahyo unategemea ntanyamaza kwakua nakuogopa wewe ?
Na ndio maana nilikuambia kama wewe Mama Huna endelea kutukana wala hayo matusi hayanisumbui.
Leta hoja zako achana kuketa mambo binafsi hapa,hili sio jukwaa la kutafuta marafiki
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Turudi kwenye mada ya msingiSijawahi kujibu post yako hata Moja ndani ya miezi 7 iliyopita, unaonekana umechanganyikiwa kwasababu unagombana na watu wengi hapa JF, kwahiyo unahisi Kila mtu ni adui wako.
Weka ushahidi Kama ndani ya miezi 7 iliyopita wewe na Mimi tulishawahi kujibishana. Nilisha acha kujibishana na wewe baada ya kugundua kwamba tabia zako hatuendani, ila ninafuatilia jinsi unavyokwaruzana na watu hapa JF.
Kwahiyo Kama sijawahi kukujibu, vipi unasema nolishatumia lugha za matusi kwako?, Hiyo ni dalili kwamba umeanza kujichanganya. Kama unataka tujibishane, lazima itumie maneno ya kiungwana, Kama huwezi ni vizuri usijibu posts zangu Kama mwanzo. Jiheshimu utaheshimiwa.
Sidhani Kama wewe ni mtu sahihi kujibishana na Mimi, kwa heshima kubwa ninakuomba tuachane kwa amani, ninakuomba uachane na posts zangu, na Mimi kamwe sitogusa posts zako. All the best my dear brother.Turudi kwenye mada ya msingi
Iliotuweka hapa Dar Vs NBO
Good day
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Man up and mind your business, no body cares about what you think or who yourSidhani Kama wewe ni mtu sahihi kujibishana na Mimi, kwa heshima kubwa ninakuomba tuachane kwa amani, ninakuomba uachane na posts zangu, na Mimi kamwe sitogusa posts zako. All the best my dear brother.
Kitu ambacho wewe na wenzako hamuelewi ni Rostam ametafutia Tz soko ya natural gas. You know very well ur country is blessed with natural minerals compared to Kenia. Lakini kwa sababu ya inferiority complex inakusumbua unaona ni mwisho wa duniaKuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevuka mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.
Hili suala la Rostam kama ingekuwa ni kampuni ya shit hole country imekuja kuwekeza Bongo wallahi tungekoma humu, lkn cc Watz kwasabu ujamaa umetuharibu tunaona kawaida tu wkt hili sio jambo la kawaida, hii ni zaidi ya kuuteka uchumi wa nchi jirani.
Wakenya mko na matatizo Sana, Kenya na Tanzania zinajenga Bomba la kusafirisha gas ya Tanzania kuja Kenya kwa ombi la serikali ya Kenya, iweje tena Rostam ndiye anatafuta soko, kweli njaa husababisha matatizo ya akiliKitu ambacho wewe na wenzako hamuelewi ni Rostam ametafutia Tz soko ya natural gas. You know very well ur country is blessed with natural minerals compared to Kenia. Lakini kwa sababu ya inferiority complex inakusumbua unaona ni mwisho wa dunia
Total gas ksh.5,500Hili ndio jibu rahisi kua muta import gas from tanzania so rostam anachofanya ni kujenga na kuboresha export ya gas from tanzania to kenya kwa asilimia 100 na sasa mumshukuru rostam kaja kuwapa nafuu kenya 😆😆😆
Mzee ushapiga picha we kweli noma. Walikua wanasema treni haiendi bandarini washachoka wakunya ndio maana mchumi wao Tony254 kakimbiaHapa ndio pale Karibu na Chang’ombe flyover ambapo Train inapita Chini magari Juu.
View attachment 2530500
View attachment 2530501
View attachment 2530502
View attachment 2530503
Wewe jobless umekuja na huku,sijawahi kuona mtanzania mjinga kama wewe[emoji867]Man up and mind your business, no body cares about what you think or who your
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji23]nipe kaz mkuu,mwenye akili sanaWewe jobless umekuja na huku,sijawahi kuona mtanzania mjinga kama wewe[emoji867]
Kwani alitokea wapi?Wewe jobless umekuja na huku,sijawahi kuona mtanzania mjinga kama wewe[emoji867]
Huyo ni kijana wa sumbawanga,sio mzalendo wa nchi yake hata kidogo anaiponda nchi yake kwa kila kitu hadi kwenye threads za ndani,sijui tatizo ni nini?Kwani alitokea wapi?
Usipende ku comment kama hujui vitu vizuri. Tanzania hatuzalishi LPG. LPG inaagizwa toka nje inakuwa stored and then distributed nchini kote.Kitu ambacho wewe na wenzako hamuelewi ni Rostam ametafutia Tz soko ya natural gas. You know very well ur country is blessed with natural minerals compared to Kenia. Lakini kwa sababu ya inferiority complex inakusumbua unaona ni mwisho wa dunia