Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa ni kenyan supporter .. u ar always against Tz kila takataka discrediting Tz we unakubaliananayo hata kama huna details na hiyo takataka, u ar either an ignorant or stupid..

Ila kwa mimi nasema wewe ni KIANDE [emoji1787]
Watanzania wa kawaida na ukweli ni maji ma mafuta pole

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 

Ukiangalia top ten ya nchi za Africa zinazopokea mpunga mrefu Kwenye startups (funding) utaiona Tanzania, hilo la Rwanda kuishinda Tanzania ameitoa wapi?
 
Usilazimishe vitu unavyoona wewe ni muhimu kwako ukataka Kila mtu aone umuhimu hivyo hivyo unavyoona wewe.

Kwa hivi Sasa serikali imeona ujenzi wa hiyo miradi ya miundombinu uliyotaja kwasasa ndio kitu muhimu kwake ndio sababu wanajenga, sio kwamba serikali haina uwezo wa kufanya hayo mambo yako unavyoona ni muhimu, uwezo inayo lakini kwasasa imeamua kufanya hayo inayofanya.

Sasa wewe unayedhani ni lazima yafanyike hivi Sasa, jibu ni kwamba serikali kwake sio kipaumbele. Wewe kwako Kama ni kipaumbele kwasasa, subiri 2025, kagombee urais Ili uanzishe hiyo miradi yako, au unaweza kuhamia huko ambako hiyo miradi inakopatikana, otherwise huna lolote unaloweza kufanya zaidi ya kupiga Domo ambalo hakuna mtu yeyote atakusikiliza.
 
Wewe ni mpuuzi tu usipoteze wakati wako kuandika gazette lakijinga kama hilo ku prove your ignorance again,tafuta shughuli za kufanya

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1666][emoji1666][emoji122][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…