NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,295
- 19,649
Ukitembea nchi nyingi za Afrika unapata managers wa hoteli Kubwa ni Wakenya.Wewe taja University kumi hapa Africa ambazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee? Wewe fala Hospitality is a very big industry, hio akili yako ndogo isikudanganye utalii ni about wildlife and beaches pekee yake.
Ndivyo mama Ngina kawadanganya hivyo? 🤣 🤣 🤣Ukitembea nchi nyingi za Afrika unapata managers wa hoteli Kubwa ni Wakenya.
Ni kawaida kuwa na watu wenye mitizamo tofauti but watu wengi wanaunga mkono utengano.ChoiceVariable Mkuu, hawa ndio viongozi ambao unawaamini kutekeleza makubaliano ya kuondoa vikwazo vya biashara?.
Katiba makubaliano ya EAC ni kuwepo kwa "free movement of labour people and goods", hata katika vile vikwazo vilivyoondelewa katika lile gazeti uliloweka ni hicho Cha watu kuruhusiwa kufanyakazi popote.
Sasa msikilize huyu naibu rais anakataza Rostam Aziz asiajiri watanzania
Kesho utasikia kelele za Wakenya kwamba watanzania wakiwa Kenya hawabughudhiwi, ila Wakenya hawaruhusiwi kufanya KAZI Tanzania, bahati mbaya wewe unasikiliza kelele zaoPay casuals weekly, Gachagua directs Tanzania gas firm
Taifa Gas Investment SEZ has commenced construction of LPG plant at Dongo Kundu.www.the-star.co.ke
Ujumbe wangu kwako ni kwamba "wakenya sio watu wazuri ", ndio sababu walikua wanakwaruzana Sana na Magufuli.Ni kawaida kuwa na watu wenye mitizamo tofauti but watu wengi wanaunga mkono utengano.
Mataahira hawawezi Isha kwenye jamii,huyo Gachacha ni mmja wa hao mataahira..
Mwisho mwekezaji anaangalia ufanisi sio kabila la mtu so huyo atapuuzwa madam Rais ana utashi wa kuondoa hizo dhana mfu za watu wasiojitambua.
👇Ujumbe wangu kwako ni kwamba "wakenya sio watu wazuri ", ndio sababu walikua wanakwaruzana Sana na Magufuli.
Unajua tofauti ya College na University? 🤣 🤣 🤣 Universities are larger institutions than Colleges, Kenya kuna so many colleges specializing in Tourism and Hospitality but Ronald Ngala University will be the first University in the region to specialize in Tourism and Hospitality courses.Hivi anaijua College of African Wildlife Management (Mweka) huyo pimbi? [emoji23][emoji23][emoji23]
FACTSUkitembea nchi nyingi za Afrika unapata managers wa hoteli Kubwa ni Wakenya.
Usiwe pumbavu bana, show me ten universities wachana na college.
Yani wewe mwenye unajiuliza na kujijibu.FACTS
Kwahiyo nyinyi wapuuzi mnatuzid kwa number of tourists.? au sijakuelewa .?Hizi hapa ni nchi kumi bila hata kuhesabu the tourism Giants of North Africa. Wewe leta University kumi amabazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee.
Why ten and not 20?Usiwe pumbavu bana, show me ten universities wachana na college.
Utalii college Hamna kitu!Wewe taja University kumi hapa Africa ambazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee? Wewe fala Hospitality is a very big industry, hio akili yako ndogo isikudanganye utalii ni about wildlife and beaches pekee yake.
Nimekupiga kama mbwa, umeamua kutoroka na hio akili ndogo kama panya. 🤣 🤣 🤣Why ten and not 20?
Ngoja kwanza huku kwenye buses mmekwama?
Na KIA ipo siku nyingi! Usisahau Mwanza pia! Songwe walikuwa wanajenga!
We mzee tulia, this will be a center of excellence in Africa.Utalii college Hamna kitu!
Hako kahospitali unaita center of excellence? Mbona ndoto ukilingansha na VETA Arusha?We mzee tulia, this will be a center of excellence in Africa.
Unajua tofauti ya College na University? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Universities are larger institutions than Colleges, Kenya kuna so many colleges specializing in Tourism and Hospitality but Ronald Ngala University will be the first University in the region to specialize in Tourism and Hospitality courses.
Hapo kenya hakuna kitu.Nimekupiga kama mbwa, umeamua kutoroka na hio akili ndogo kama panya. 🤣 🤣 🤣