Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaelekea kumbe wewe hujui LPG ni nini. Unafikiri ni gas unachota kwenye kisima tuu kama maji. Jifunze kwanza types za gas nduo uje uanike kende hapa.
 
We are controlling your gas economy.
 
Funny enough gas in tz ni more than 50% cheaper ukilinganisha na kenya. Every metric you come through inaonesha vile watanzania ni maskini kuliko wakenya
 

Hata unyambe namma gani, ninyi ni failed state.
 
Kwanza the competition it brings itasaidia sana consumers. Monopoly ilkua inatuumiza sana
 
Link iko wapi kaka.? Au umeokota tu ili opoze machungu.? 🤣🤣 Tz kutokana na mahitaji ya Gesi kampuni zaidi ya nane zimewekeza kwenye sector hiyo..
 
Funny enough gas in tz ni more than 50% cheaper ukilinganisha na kenya. Every metric you come through inaonesha vile watanzania ni maskini kuliko wakenya
Gas kwenu ni expensive because of monopoly. Jaffer, politicians wenu na rushwa serikalini ndio inafanya bei ya gas iwe juu Kenya.

What an economy ya kinyonyaji.
 
By end of this year hili dafu litafika 150 -160 to the dollar.
Currently the commercial banks are selling USD kwa Ksh 135 -137.

 
Kwa sie tunapenda biashara na ambao hatusubirii kutumwa ndio tupate msosi Wetu tukiona kumbe kama hizi Huwa tunafurahi sana
Biashara ndio njia pekee ya Kutatua mass unemployment Kwa Nchi za Afrika na sio uhasama wa kipumbavu.

Mara zote nitamuunga mkono Rais yeyote mwenye mtizamo wa kukuza biashara ndio maana namkubali Samia, Kenyatta na Ruto na ni adui mkubwa sana wa sera za Mwendazake
 
tuusan nimeona mpuuzi mwengine yule fake Bond 007 akisema eti nyumba kama hii utazipata zimejaa kila mahali hapo Dar Uswahilini. Hivi hawa ndugu zako akili zao hufanya kazi? 🤣 🤣

Mzee hii ndio nyumba unatamba nayo. Hakika wewe ni mshamba sana. Nyumba kama hizi tunajengea wazazi wetu vijijini. Subiri nikutoe tongo tongo. Leo nipo free.
 
Kwanza the competition it brings itasaidia sana consumers. Monopoly ilkua inatuumiza sana
Tanzania ndio muokozi wenu kwa Kila kitu, your country is under cartels who are politicians. Ni hatari Sana kuchagua viongozi ambao ni big "businessmen, wanasiass wenu wote ni wafanyabiashara wakubwa, unategemea nini Kama sio "ku- monopolize everything". Tanzania is here to rescue you from your politicians.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…