Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

70% of households rely on firewood
Lakini according to Ma-Rope pia sisi hatuko vizuri, actually sisi ni wa kwanza then wanafuata wao hivyo tusichekane sana

 

Sisi wala hatujakataa, nakumbuka kauli ya waziri miezi michache iliyopita,
Shida ni wakunya kujigamba humu kumbe wapo ovyo.
Si unakumbuka pia walituambia humu kuwa huwa wananunua magari mapya mapya tu zero km!
 
Bongolala, nilikuambia kwamba crime iko hata US. Does it mean kwamba US haina katiba bora? Heri tu unyamaze
 

Kwa zile remittance zinazotumwa Kundustan , Bora na Sisi Tukachukue Remittance zao kidogo [emoji23], Zile za Tanzania pia zitarudi kidogo home.
 
Exactly what I said tuusan .🤣🤣🤣
Three words - Pot. Kettle. Black.

It is a pity that despite the fact that Tanzania produces and exports natural gas to us, only 4% of Tanzanians use natural gas vs 17% of kenyans.🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…