The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Tunashukuru mmekubali Watz waje kuwekeza huko kwenu sasa namba mtaisoma, tunachukua pesa zenu tunarudisha nyumbani, kama wazungu wa kwenye chai wanavyowatafuna ndivyo na cc tutakavyofanya, asanteni sana Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rostam Aziz katuongezea number za FDI pale na Taifa gas. Kenya is truly the investment hub of East Africa
Hapa wamepigwa na kitu kizito chenye ncha kali [emoji848]
Hawawezi.Sijaona wakunya wakifungua threads za kupongeza huo uwekezaji mkubwa….ooh nilisahau, wengi wa wakunya humu ni wafuasi wa Jaluo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajapigwa ila ndivyo hali halisi ilivyo kule kundustan, nyumba kule ni anasa na ukimuona mwenye hiyo nyumba huko kwao ndio tajiri wakati huku kwetu hiyo ni nyumba ya kawaida kabisa na haihesabiki kama nyumba kali.Hapa wamepigwa na kitu kizito chenye ncha kali [emoji848]
Waambie kabisa hizo ni takwimu kutoka serikalini kabisa.70% of households rely on firewood
Huna huo uwezo kakangu.Any person mwenye elimu ndogo tuu can easily identify mradi wenye economic impact.
Bado nasubiri uweke hiyo miradi yenu hapa tuchambue kuhusu economic impact.
Wewe ndio huna huo uwezo. I am much more versed in economic matters than you can ever imagine.Huna huo uwezo kakangu.
This house will cost about 1.2M Kenya shillings, usipost vitu huelewi..............and it is a decent house. Nyumba ya 90M Kenya Shillings ni hii hapa.
Noma sana bado safari ni ndefuMore than 70% ya Wakenya wanapikia kuni, sio mm ni deputy president wao.View attachment 2528676
Iao ni nyumba za wale 5% of the populationThis house will cost about 1.2M Kenya shillings, usipost vitu huelewi..............and it is a decent house. Nyumba ya 90M Kenya Shillings ni hii hapa.
Duh sasa ni miradi ya kiasi gani huwa hawa wakulungwa hufanya miaka yote hiyo?Bado tunaendeleza [emoji382]
Dony worry Tanzanians have come to the rescue.More than 70% ya Wakenya wanapikia kuni, sio mm ni deputy president wao.View attachment 2528676
More than 70% ya Wakenya wanapikia kuni, sio mm ni deputy president wao.View attachment 2528676