chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Waitoe wapi hiyo pesa? Pesa ya kununua chakula tu mpaka wakope! Nchi imefilisika ileMbona wasiwajengee masoko proper?
Waitoe wapi hiyo pesa? Pesa ya kununua chakula tu mpaka wakope! Nchi imefilisika ileMbona wasiwajengee masoko proper?
Hizi sio parking slots markings 😁😁 ni business frames 😂😂😂
Wakunya na kuchora chini kama brt vile 🤣
View attachment 2527607View attachment 2527608
It is heaven on earth! Alhamdulillah!Wewe ni pimbi tu. Crime iko hata US na UK na uko hapa kutupigia kelele. Yani wewe unadhani hii Tanzania yenu ni heaven on earth!
Waitoe wapi hiyo pesa? Pesa ya kununua chakula tu mpaka wakope! Nchi imefilisika ile
Wacheni kuweweseka mibongolala kwa mambo msiyojua. In the last two years alone, these markets among others have been built and operationalized.Mbona wasiwajengee masoko proper?
Mambo ya kishamba. Primitive mentality.
Sasa hawa jamaa mbona huko Baringo hawapo wao wamekalia kupiga mapicha picha tu?
Asante kwa kutuonesha gari za 5yrs ago 😆😆😆Kenya is a Semi desert country
View attachment 2527677
View attachment 2527672
View attachment 2527671
View attachment 2527673View attachment 2527674
Morogoro size yake ni nakuru sio mtwapa au njaa inakuwasha wewe 🤣🤣🤣 na nafkiri morogoro huijui wewe eti mtwapa kijiji ambacho kimepitiwa na highway ya kwenda malindi unaeza sema nini wewe
Hvi ww morogoro unaijua vzr kweli 🤣🤣🤣Huu ni mji Ama uswazi? 😂😂😂😂😂
View attachment 2527417
Enyewe levels zenu ziko down Mibongolaa
Hiyo Morogoro haifikii hata Mtwapa, a little-known town in Kenya hata roboView attachment 2527436View attachment 2527437
Nioneshe barabara muhimu ya mtwapa zaidi ya hio highway ya kwenda malindi na mombasa ukipata nitag 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huu ni mji Ama uswazi? 😂😂😂😂😂
View attachment 2527417
Enyewe levels zenu ziko down Mibongolaa
Hiyo Morogoro haifikii hata Mtwapa, a little-known town in Kenya hata roboView attachment 2527436View attachment 2527437
Hichi kijiji cha uswazi si kitu cha kutangazia watu. Levels zenu ziko downMorogoro size yake ni nakuru sio mtwapa au njaa inakuwasha wewe 🤣🤣🤣 na nafkiri morogoro huijui wewe eti mtwapa kijiji ambacho kimepitiwa na highway ya kwenda malindi unaeza sema nini wewe
Fungua hzi video kenge wewe ujionee kwa macho yako na ushike adabu 🤣🤣🤣🤣Hichi kijiji cha uswazi si kitu cha kutangazia watu. Levels zenu ziko down View attachment 2527821
Hvi ww morogoro unaijua vzr kweli 🤣🤣🤣
fungua na kama huna bundle niambie nikutumie usafishe macho yako🤣🤣Hichi kijiji cha uswazi si kitu cha kutangazia watu. Levels zenu ziko down View attachment 2527821
Tena hii picha kwa taarifa ni outside morogoro town ni nje kidogo ya morogoro town na hio roundabout unayoiona ni bypass ya njia kwenda dodoma nyingine kwenda dar na nyingine kwenda morogoro town na nyingine kwenda iringa uliza ufunzwe kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣 unakuja unapayuka tu hapaHichi kijiji cha uswazi si kitu cha kutangazia watu. Levels zenu ziko down View attachment 2527821