Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is there any Kunyaland City to match with Morogoro Municipal Outside Nairobi and Mombasa?

Morogoro is not a City mind that but is 🔥🔥🔥View attachment 2526515View attachment 2526516View attachment 2526517View attachment 2526518View attachment 2526519
Huu ni mji Ama uswazi? 😂😂😂😂😂
morogoro_ndio_home_1677051843513486.jpg

Enyewe levels zenu ziko down Mibongolaa

Hiyo Morogoro haifikii hata Mtwapa, a little-known town in Kenya hata robo
Screenshot_20230116-113313~2.png
Screenshot_20230116-113204~2.png
 
Tanzania hakuna ukabila?
Tanzania hakuna rushwa?
Tanzania hakuna njaa?
Tanzania hakuna crime?
Tanzania hakuna wizi wa kura? It's even funny you forget what happened in your last election!
Tanzania gharama ya maisha haijapanda?

Kujiliwaza hamjambo
Tanzania hakuna ukabila wala njaa
 
Kwani Tanzania Kuna katiba mpya?, Nchi yenye katiba mpya haipaswi kuwa na hayo yote, Sasa mliandika katiba mpya Ili mzidi kuwa na matatizo zaidi?
 
Tanzania hakuna ukabila wala njaa
Chizi huyo, anajua Kila kitu kwamba Tanzania ipo vizuri katika hayo niliyoyataja kushinda Kenya yenye katiba lao bovu(Mpya), wako hapa kutupigia kelele kuhusu katiba mpya ambayo haijawasaidia lolote zaidi ya kutengeneza nafasi za wanasiasa nyingi ambazo zimekua ni mzigo kwa wananchi wa kawaida.
 
Kwani Tanzania Kuna katiba mpya?, Nchi yenye katiba mpya haipaswi kuwa na hayo yote, Sasa mliandika katiba mpya Ili mzidi kuwa na matatizo zaidi?
Wewe ni pimbi tu. Crime iko hata US na UK na uko hapa kutupigia kelele. Yani wewe unadhani hii Tanzania yenu ni heaven on earth!
 
Wewe ni pimbi tu. Crime iko hata US na UK na uko hapa kutupigia kelele. Yani wewe unadhani hii Tanzania yenu ni heaven on earth!
Hiyo UK na US zote zimefeli tu.. paper tigers they are no longer that powerful.
 
Parts of Madaraka, South B and South C with Nairobi National Park in the background on the far right.
Screenshot_20230222-161012~2.png

Dar picha imepigwa umbali kama huu utaona tu uswazi kila mahali
 
Back
Top Bottom