Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe uko na shida ya akili au ni nini, tukisema Kenya Kuna Rushwa Sana, hiyo Haina maana kwamba Tanzania au nchi zingine haiko, tunacholinganisha ni viwango vya Rushwa, Sasa wewe unalinganishaje 50 unclaimed bodies in Tanzania vs 240 bodies of Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulisema Tanzania hakuna kitu kama hicho and even went ahead to say it's a sign of poverty in Kenya. Now the beats have changed after nimekushika kende! What a poor,bitter soul you are!
 
Hiyo ndio data yako bongolala? Hiyo taarifa imetaja ni watu wangapi wanaishi chini ya dollar moja kwa siku? Imetaja HDI ni ngapi? Keep digging!
At least Tanzania hatuna maisha mabaya hivyo [emoji1784][emoji1784]
 
Ulisema Tanzania hakuna kitu kama hicho and even went ahead to say it's a sign of poverty in Kenya. Now the beats have changed after nimekushika kende! What a poor,bitter soul you are!
Huna akili wewe, onyesha wapi nimesema Tanzania hakuna kitu Kama hicho, Wewe ni chizi kabisa.

Hapa tunalinganisha na kushindanisha Kenya na Tanzania, hivi unajua maana ya kulinganisha na kushindanisha vitu viwili?.

Wacha kujitetea, tunaposema Kenya Kuna njaa, Rushwa, wizi, ujambazi, umasikini, police brutality, ukabila, na slums, Ina maana katika akili yako tunamaanisha kwamba hivyo vitu havipo kabisa Tanzania?, Punguza ujinga.
 
Hivi hii ni shida ya JKIA tuu ama ni tabia ya Wakenya?

 
Kwa hivyo leo Tanzania kuna slums? Mibongolala mnachekesha sana! Leo mnasema hii, kesho mnasema kingine bora muonekane mumeshinda mjadala. Watu hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…