joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hapa nimefurahi vizuri tu. Sasa huku Tanzania tunafanya "Bone marrow transplant" na tinaweka balloon kwa watu wenye "over weight" katika Hospitali za serikali, huko kwenu hivi vitu vinafanyika?Ni mara ngapi hapa tumeweka hospitali za kitaifa na counties, nyinyi sijui nini kinawasumbua.
Haya hii ni hospitali iliyojengwa na serikali ya nakuru, umefurahi? View attachment 2519680View attachment 2519681View attachment 2519683
Hawa si hata high quality tea hawanywi wao wanatuuzia sisi na ulaya uko.Alafu wao wanaendelea kutumia mitaimbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.UKisoma Comments kwenye Post hiyo
Ndio Utawashangaa Baadhi ya Watanzania Wanao Sema Kenya nindugu kiukweli Siwezi kuwa na Udugu na Mkenya mie Never Niwatu wenye Wivu,Chuki na Roho Mbaya sana Duniani
Inabidi kwanza wazalishaji wawe wanajitegemea na Tanesco ibaki msambazaji.Ni lini sheria za Tanzania zlibadilishwa kuruhusu shirika lingine zaidi ya Tanesco kusambaza umeme nchini?
Huenda Songoro ana kazi nyingi hivyo kutakuwa na delay ya kurejesha kivuko kwenye operation na possibly gharama nafuu inaweza ikawa imechangia.Cha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.
Cha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.
Wazalishaji wawe wengi, Tanesco abaki na transmission halafu distributors wawe wengi walete ushindani.Inabidi kwanza wazalishaji wawe wanajitegemea na Tanesco ibaki msambazaji.
Walijua kujenga bwawa ni kama kuinua kwapa kila mtu analo 🤣🤣🤣🤣Hali ni mbaya sana miradi ya mabwawa imekwama due to lack of funds.
Kenya eyes debt-for-nature swaps to build water dams
Dr Ruto said Kenya cannot afford the billions of shillings needed for water provision in the short term and that the PPP model would offer a solutionmobile.nation.co.ke
Gharama ndio kigezo. Kuna ubaya gani serikali kulipa hio hela ili pesa zibaki nchini? BTW hela za kodi ni bora tu zingerudi kwenye mzunguko wetu wenyewe hata kama bei iko juu kidogo.Huenda Songoro ana kazi nyingi hivyo kutakuwa na delay ya kurejesha kivuko kwenye operation na possibly gharama nafuu inaweza ikawa imechangia.
Kazi nyingi zipi? Ili ni kampuni ya matapeli Sukuma gang.Huenda Songoro ana kazi nyingi hivyo kutakuwa na delay ya kurejesha kivuko kwenye operation na possibly gharama nafuu inaweza ikawa imechangia.
Hakuna kupata kazi kampuni ya sukuma gang matapeli,hao ndio walitufikisha huku [emoji116]View attachment 2520172Cha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.
Kinadharia linaonekana ni zuri lakini kiuhalisia ni ngumu Sana. Umeme ndio Kila kitu katika kuendesha uchumi wa nchi, serikali ikishindwa kudhibiti gharama za uzalishaji, na usambazaji umeme, bei ya umeme inakua juu sana, gharama za uzalishaji zinapanda, wawekezaji wanakimbia na uchumi unayumba.Wazalishaji wawe wengi, Tanesco abaki na transmission halafu distributors wawe wengi walete ushindani.
Nimesikia songoro alitender bln 10 na kunyani walitender bln 7 butCha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.
10%Gharama ndio kigezo. Kuna ubaya gani serikali kulipa hio hela ili pesa zibaki nchini? BTW hela za kodi ni bora tu zingerudi kwenye mzunguko wetu wenyewe hata kama bei iko juu kidogo.
Walifikiri ni kuweka bulldozer mafuta tuu basi kazi imeisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walijua kujenga bwawa ni kama kuinua kwapa kila mtu analo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]