Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani wewe ndio hujaelewa mkuu.Umeme unaweza ukachukuliwa Kidatu,Songasi au Nyereree Hydro Power etc na usiwe wa tanesco.Tanasco anapokea kwa mzalishani ,andafirisha na kuuza.Hivyo serikali unaweza kudesgnate njia huru for SGR.
Ni lini sheria za Tanzania zlibadilishwa kuruhusu shirika lingine zaidi ya Tanesco kusambaza umeme nchini?
 
UKisoma Comments kwenye Post hiyo
Ndio Utawashangaa Baadhi ya Watanzania Wanao Sema Kenya nindugu kiukweli Siwezi kuwa na Udugu na Mkenya mie Never Niwatu wenye Wivu,Chuki na Roho Mbaya sana Duniani
wakunya hawawezi kuwa ndugu hata siku moja, ni wabinafsi sana, wakora, wana roho za kimasikini, poor kenyans
 
Tuna jirani mbaya mno mwenye wivu na umaskini uliotukuka
 
Wakenya wakiona vitu kama hiv, mioyo inawauma.
Nimeukumbuka wimbo wa kidini wa 'raha jipe mwenyeweee' unawahusu sana hawa wakunya ๐Ÿ˜€
They canโ€™t help it, wameamua kuwa wakweli. Ila wametuheshimu sana, hii promo ni ni baab kubwa, hata wakitufunga sawa tu, au sio wanangu wa Makolo?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
imagine and we still have a bigger economy than danganyika. Imagine how poor danganyika is kama mnashindwa na kenya while we still have all this problems
With your "white big economy" but you are the least country in development projects, you have the biggest external debts which you can't pay, and your people are dying of hunger like cattle, that is how big economy serves you stupid people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ