Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Halafu mwenye njaa sio mlalamishi haoni huyo jamaa kapewa chakula lakini bado analalamika maana yake hakuwa na tatizo la njaa ila anataka tu kubadilisha mboga 😂😂😂
 
Public bus ni ya kubeba mwananchi wa kawaida anayelipa ksh 20 to ksh 70 kama fare. Sio ya upper class, well pia hao wanaweza kuzitumia sio restricted... So what's your point.
Ndio hizo bus tano zikasaidie mamilioni ya wakazi wa ka Nairobi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi tuna basi zaidi ya 100 za BRT plus dala dala na hazitoshi, nyie wakundustan ni wendawazimu, mmeona BRT system ya Tz imefaulu mkaiga, kuiga mazuri hatukatai, tatizo nyie mmeiga sio kwa ajili ya ku save wananchi bali lengo lenu ni kuijibu BRT system ya Tz na hapo ndipo mnapofeli, yn kila kitu mnataka kushindana na Tz.

Mfano hata baharini mlipoona tunatengeneza meli kubwa zaidi EA nanyi mkachukua tax payers money mkaenda kujenga mtumbwi mwisho wake mtumbwi wenyewe juakali unazama badala ya kuelea, mpk leo haueleweki uko wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kunywa maji upumzike bradhee, umeongea na hasira nyingi sana. lazima una stress mob. [emoji1787]
Tatizo lenu mnalazimisha sn tufanane, shit hole yenu iliharibika kitambo na aliyeiharibu mnamjua, msitake tufanane, hakuna njaa Tz na haitokuwepo kamwe.
 
Ukitaka kuamini kwamba Watz huwaambii kitu kwa nchi yao angalia Watz wengi walio nje hasa ulaya na Amerika wameoa au kuolewa huko lkn wengi wao hawataki kubadili uraia, hizi kesi nmekutana nazo nyingi sana, nawaulizaga mbn wewe hujabadili uraia, mtu anakwambia haitokaa itokee, Tz tamu sana kule tunatafuta pesa tuu lkn asikuambie mtu Tz ni nchi moja tamu sana.

On the other hand wanapita Wakenya, waganda, wacongo n.k wana passport za ulaya na Amerika lkn ukiangalia alipozaliwa ndio utajua huyu alibadili uraia.

Hawa Wakenya wa humu tunabishana nao ili kujifurahisha tu siku ziende lkn ukweli upo wazi kabisa hata wao wanajua, 99% ya Wakenya humu kama itatokea kubadili uraia na kupata passport ya Tz watakimbilia popote pale walipo lkn siamini kama kuna mtz humu anataka kuwa mkenya, na kama wapo basi hawafiki hata 5% truth to be told.
 
Nimekuambia unionyeshe render bongolala
 
Hahaha. Mwaka 2021
Tanzania exports to Kenya $489.8M
Kenya export to Tanzania &409.7M

This is Tanzania(The father of EAC)

Nenda ukalilie chumbani, usirudi Tena hapa. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wakenya ukiwapa data ya kuwazidi kwenye exports wanapotea, yn wanaumia sn na wanaona kumbe kweli GDP yao ni ya mchongo. Just imagine tunawazidi exports ktk kuuziana sisi kwa sisi yn Kenya ina import zaidi kutoka Tz kuliko ku export, na kinachowauma zaidi ni kwamba tumepiga gape kubwa la karibu $200m.

Lkn pia hata ukiangalia exports za jumla yn Tz annual export ni kubwa ukilinganisha na Kundustan annual export, hii inawauma sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…