KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Hii wivu yake men ni mpya bana[emoji1787][emoji1787] so kwa akili zako timamu our biggest remittance na professionals wako saudia according to you?Ukiwaza kwa kushirikisha akili utajua wakenya wengi waliopo nje ya nchi ni housemaids gulf na sio professionals ila sababu hufikiri kwa kina unaendeshwa tu kimihemko huwezi kuelewa
Nimeona GSM sasa anakiwanda kinaitwa power battery kama sijakoseaHapana. Hii ni challenge. Tunashindwa nini kuwa na kiwanda cha battery tukauza Kenya,Uganda,Rwanda,Kongo? Hizo battery ni Chloride Exide na Spark.
Inatokea mbn, kwani invention zote zinazotokea China huwa zinapata support huko China?Imagine having an invention your own cant support
Kiwanda kipo Buza. Tena wanakupa na guarantee ya 1 year.Okay, nazijua hizi ila sikujua kama zinatengenezwa Tz. Nitazijaribu next time.
Unaelewa maana ya credible evidence.Unasubiri evidence wakati unagoogle tu unaona,mnapenda tu hadithi nyingi wakati unauwezo wa ku prove otherwise mwenyewe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Alaf siku ya mwisho mambo hua hvi 🤣🤣Uvivu unaanzia hapa.
View attachment 2518135Just 9 per cent of Kenya’s irrigable land developed- PBO report
Even the already developed hectares have not been utilised fullywww.the-star.co.ke
Your reasoning though weeh[emoji2297]Nioneshe taifa lolote linalojielewa remittance imepita total export value kama wewe zimo kweli [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2518019
Anajifanya kasahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unless uwe huna taarifa kamili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakuambia wanajenga Railway city sijui mara Tatu city while skilled manpower is dying of hunger.Alaf siku ya mwisho mambo hua hvi [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2518137
Wanapenda majina makubwa ya kutisha ila waonekane kwa watu 🤣🤣🤣🤣🤣 hio konza city ina zaidi ya miaka 14 na hakuna cha maana hata 1% ya mradi hawajamalizaWatakuambia wanajenga Railway city sijui mara Tatu city while skilled manpower is dying of hunger.
Umeulizwa tu vizuri since when did play kenyan mean ban tanzanian, try and be objective in your reasoning, your too sentimentalUnfortunately majority of Kenyans think otherwise. Tanzanian music was good before Kenyans' support, ironically Kenyans changed it on their favor, that Bongo flavor got International recognition because of support from Kenyans, this is rediculous.
AmapianoUnataka kutuambiwa watanzania wanapenda music gani??[emoji38][emoji38][emoji38]
Yes, leta moja yenye wachinese hawasupportInatokea mbn, kwani invention zote zinazotokea China huwa zinapata support huko China?
Ww kweli chizi wa mwaka 🤣🤣🤣 hebu nitajie wasanii watatu tu wanaoimba amapiano?? Na unitajie ni producer gani wa kenya anatengeza beat za bongo fleva kwa miaka 5 hiiAmapiano
Wenye kufikiri hivi ni wachache, imagine specialists waliopo pale JKCI wote wawe abroad wanafanya kazi kwenye hospitals kubwa na kulipwa mishahara mikubwa, wangesababisha hasara kubwa kwenye sector ya afya Tanzania billions of money zingetumika kuwasafirisha wagonjwa na kugharamia matibabu pia tungetumia forex yetu kwa wingi huko sababu hawangeenda kutibiwa kwa Tsh, ila wenye uelewa mdogo haya yote hawawezi kuyaonaHii ni aibu, haiwezekani nchi production ya ndani inadoda sababu human capital yake cream yote iko nje inapambana kukuza nchi za watu. Nchi yenye natural resource za kutosha ni aibu kwenda kufanya kazi kwenye nchi zingine. Brain drain was desgined kwa nchi zisizo na natural resource ambazo zinawekeza kwenye kudevelop its human capital ili kutap opportunities kwenye nchi zenye much natural resources. Let’s Afrika fight this braindrain insteat of embrace it. Mtu anayejisifia huu upuuzi au uchumi wa kichuuzi namna hii namshangaa sana.
Zipo battery nyingi tuu zinatengenezwa Tz kama Rhino battery ni mojawapo.