10 sets of EMUsSasa ushaambiwa kuna 8 set za EMU zinakuja kutoka germany ambazo zina behewa 10 kila moja bado unataka uambiwe nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unaumia kwann sasa
Umeambiwa na nani kama kichwa cha bullet haziwez kutumika nani kakupa hzo taarifa mama ngina au???
Matusi ya nn wkt nyie wenyewe mshamjua huyo ni mtu wa aina gani, Wakenya wote mnashangazwa na comments zake mana ni tofauti na mnachokiona humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngojea matusi [emoji1787][emoji1787]
Sasa kuwa customer wa kampuni la mtanzania ni ufahari?[emoji1787][emoji1787]Ebu tag geza i told him Kenyans are Nala's biggest customers akabisha
Matusi ya nini?, Mbona shirika la Tanzania la mazao mchanganyiko limefungua ofisi zake Mombasa na Juba Ili kuwasogezea huduma ya upatikanaji wa chakula hamshangai?Ngojea matusi [emoji1787][emoji1787]
Tz technology ipo nyuma mno mno,Utahoji hapa na una Google, search for yourself, mnasema mnipuuze ni sahihi,lakini reality haitochange.Na muendelee kupuuza hivyohivyo Watz wanaoeaeleza ukweli itawasaidia sanaN wewe unaaminip hizi takataka.? [emoji23][emoji23][emoji23].. kenya kunap technology Gani wenye wako nayo au wamegundua.?
All of them except Walker255 ....arguing with Kenyans is the best school they ever attended.Nimekwambia the best school joto la jiwe amewai attend ni huu uzi.
Inashangaza sana, yn kiwango cha kujisifia cha Wakenya ni another level.Sasa kuwa customer wa kampuni la mtanzania ni ufahari?[emoji1787][emoji1787]
Kwani wewe ni kitu gani Tz iko mbele, unajua hata Wakenya siku hizi wanakupuuza wanakuona hamnazo, unaongelea technology hebu niambie ni nchi gn Africa iliyoanzisha technology yoyote ile unayoijua wewe mpk useme sisi tupo nyuma wao wapo mbele. Siku hizi hata like toka kwa Wakenya hupati, wanakuona mwehu.Tz technology ipo nyuma mno mno,Utahoji hapa na una Google, search for yourself, mnasema mnipuuze ni sahihi,lakini reality haitochange.Na muendelee kupuuza hivyohivyo Watz wanaoeaeleza ukweli itawasaidia sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mimi sipo hapa kwa ajili ya likes na kutafuta marafiki, and why nikisema kitu cha ukweli instead m Google kama mnavyofanya kwemye mambo mwengine mnaanza kuzungusha sana kiswahili?Kwani wewe ni kitu gani Tz iko mbele, unajua hata Wakenya siku hizi wanakupuuza wanakuona hamnazo, unaongelea technology hebu niambie ni nchi gn Africa iliyoanzisha technology yoyote ile unayoijua wewe mpk useme sisi tupo nyuma wao wapo mbele. Siku hizi hata like toka kwa Wakenya hupati, wanakuona mwehu.
So wewe ulitaka kuwapita kila kitu we nani katika dunia.Hata remittance waganda wanatuzidi
Tuendelee kupuuA hivi vitu vidogovidogo zikija cumulative reports hapa mnasema data zinapikwaView attachment 2517952
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata remittance waganda wanatuzidi
Tuendelee kupuuA hivi vitu vidogovidogo zikija cumulative reports hapa mnasema data zinapikwaView attachment 2517952
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwenye supermarkets zao zote kumejaa mchele wa Tanzania halafu wanakuambia hii ni raw materialsHahaha, wewe vipi?, bado unazungumza mambo ya zamani kabla Magufuli hajafa?, Sisi tunazungumza kuanzia 2021 hadi Leo baada ya kuondoka Magufuli, Hali hivi Sasa tunawapelekesha Sana,.
By the way "is Rice a raw materials?", Mnatengeneza nini kutokana na Mchele?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sisi tunawauzia bidhaa muhimu zenye kuokoa maisha ya watu, bidhaa zetu zikikosekana uchumi wenu unayumba, au kunaweza kutokea "Civil unrest", ninyi mnatuletea sabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiazi mwenyewe, Huna cha kufanyaKwaiyo sasa unataka tufanyaje ? Tuhamie saudi arabia tukafanye kazi za ndani tupate remittances ? Kumbe wewe ni kiazi ?
Kuna vitu kupitwa inakera ndioSo wewe ulitaka kuwapita kila kitu we nani katika dunia.
Itafika muda watakubali tu wote....Nchi isiyokuwa na direction a.k.a shit hole, wameona Tz ina BRT system wakajaribu kuiga wakajenga kituo kimoja wakaona moto [emoji91] mkali haiwezekani, now from no where wanakuambia wanataka electric bus wakati infrastructures za ku support hizo buses hakuna, yn na uchafu ule wa ka Nairobi plus uncivilized Kenyans hizo bus wiki moja tu zitakuwa bora hata matatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahaha, hivi hawa nyangau gdp kubwa inawasaidia nini? wanadai wana mfumo mzuri wa elimu ambao hauwezi kuwasaidia kuondokana na baa la njaa hahahahahahaHata sisi tunaona kwa kweli
Nenda Saudia kadeki vyoo uongeze remittance Tanzania mbona simple tu 😂😂😂 unataka Watanzania waishi maisha ya kishetani kama wakunya ili tufanane nao kwenye statistics? Kenya ni taifa la kifukara na hakuna chochote mkenya anaweza kufanya ndani ya Kenya akafanikiwa tofauti na ufisadi ndio maana wote wanaenda kufanya kazi za shuruba nje ya nchi ili wasife njaa!Hata remittance waganda wanatuzidi
Tuendelee kupuuA hivi vitu vidogovidogo zikija cumulative reports hapa mnasema data zinapikwaView attachment 2517952
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app