Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtaacha lini kujifurahisha nyie mbwa, failed state.
Nchi isiyokuwa na direction a.k.a shit hole, wameona Tz ina BRT system wakajaribu kuiga wakajenga kituo kimoja wakaona moto [emoji91] mkali haiwezekani, now from no where wanakuambia wanataka electric bus wakati infrastructures za ku support hizo buses hakuna, yn na uchafu ule wa ka Nairobi plus uncivilized Kenyans hizo bus wiki moja tu zitakuwa bora hata matatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yeye ni zoa zoa huyo jamaa.. elimu yake sijajua inamsadia nini likija suala la tafakuri.. [emoji1787]

Kwenye hiyo list aliyopost, hizo tatu za juu ndo angalau ziko vizuri kwenye tech.
Halafu hivi sisi Waafrica si huwa tunatumia tech za watu weupe?

Nini tumeunda from scratch! Maana hata bidhaa mbalimbali, apps zetu ni copy za watu weupe!
 
Mwanetu tumsameh tu 😂
 
Ebu tag geza i told him Kenyans are Nala's biggest customers akabisha
 
Ngojea matusi [emoji1787][emoji1787]
 
You impose trade barriers we reciprocate thats all. So stop whining here learn to live with neighbours in good terms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…