Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaleta data za 2020 while hii ni 2023.?

2021.?
2022.?

Kwani mkikubali kuzidiwa mtakufa.?
 
Hahaha, wewe vipi?, bado unazungumza mambo ya zamani kabla Magufuli hajafa?, Sisi tunazungumza kuanzia 2021 hadi Leo baada ya kuondoka Magufuli, Hali hivi Sasa tunawapelekesha Sana,.

By the way "is Rice a raw materials?", Mnatengeneza nini kutokana na Mchele?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sisi tunawauzia bidhaa muhimu zenye kuokoa maisha ya watu, bidhaa zetu zikikosekana uchumi wenu unayumba, au kunaweza kutokea "Civil unrest", ninyi mnatuletea sabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliyempa taarifa si mwengine zaidi ya wivuu
 
Mzee huko tulishatoka miaka mingi mno.
 
Magufuli hakua na roho chafu ila roho chafu mulikua nazo nyinyi miaka yote kujifanya munajua sana biashara kuliko wengine na alichokifanya magufuli ni kuifanya nchi iwe shindani kwa nchi zingine ili viwanda vijengwe na wananchi wapate ajira na serekali ikusanye kodi pia

Sasa mtu akihimiza ujenzi wa viwanda nchini mwake tayar amekua na roho mbaya au?? Na hata alipoifufua Air tanzania lengo ni kuleta ushindani wa kibiashara sio chuki wala roho mbaya

Na tatizo mlionalo nyinyi munadhani tanzania ni mhasimu wenu ila ukweli munaujua kua ni roho mbaya zenu msiotaka tanzania iendelee kiuchumi na kijamii na chuki zenu kwa magufuli ni vile alivoiamsha nchi na watu wake 😆😆😆😆😆

Munamuuzia nani finishing goods kitu gani leo munauza tanzania my friend 🤣🤣🤣🤣 na ni raw material gani nyinyi munanunua kutoka tanzani ?? Ikiwa mpaka mavazi munavaa ya tanzania is that raw material nimekuja juzi kenya wala miraa wote wanatumia azam energy is that raw material??
 
Miaka mingi sana tulishahama huko
 
Lines zako za juu nyingi nakubaliana nawe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye Rais Samia ametegua kitendawili baada ya kusubiria Kwa miaka Mingi.

Tanzam Highwaya lot 4 inaanza rasmi kujengwa km 32.

Mita 9 zitatenganisha Barabara hizo kama Sam Nujoma Road[emoji122][emoji122]

 
Rudi shule Kijana.
1800s = 1800 - 1809
1810s = 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.

18th Century = 1701 - 1800.

Wewe ni kama hapa JF ndio the best school ushawai kanyaga. Unakuwanga dunder Sana.

View attachment 2517114
wakenya tunafunza wadanganyika hapa jf vitu nyingi sana. We should sometime shut up and watch their circus from afar
 
Porojo zisizo na Msingi, Mwendazake was useless na Bora kawai siti ya kuongoza malaika.

Nchi ilikuwa inaenda shimoni hii.

Just imagine mtu hajaajiri miaka 5 anasingizia kujenga Sgr sjui bwawa na blaa blaa kibao..

Kama mabwawa ,Sgr nk ndio miradi mikubwa sana how comes Sasa hivi Miradi yote inaenda , Serikali inaajiri na hakuna visingizio?

Kwani mkisema mliua uchumi na hivyo mlikuwa hamna pesa Kuna shida gani? Tutawaelewa tuu.

Vipande vyote vya Sgr Kuna Wakandarasi, Tanesco sio tuu wanajenga bwawa la Sgr Bali Kuna mamiradi mengine ya matilioni yanaendelea,Ajira Kedekede, kwenye mabarabara ndio usiseme,maji ndio kabisaa ,Afya mambo ni moto..

Huwa nacheka sana tulikuwa tunaongozwa na mtu asiyejua Uchumi ni kitu gani,looser tuu.
 
Sijakutuma uje uongee upupu kwenye comment yangu kinachotakiwa ukiona comment yangu pita wima kama hunijui vile kenge wa kike wewe tabia za kichoko watafute mabasha wakupakate
 
Sijakutuma uje uongee upupu kwenye comment yangu kinachotakiwa ukiona comment yangu pita wima kama hunijui vile kenge wa kike wewe tabia za kichoko watafute mabasha wakupakate
Huna hoja nimekutandika vilivyo na huyo Mungu wako aliyekuwa looser..

Hoja hujibiwa Kwa hoja Bwashee ,makasiriko hayatakusaidia tumbili jike wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…