KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Ungesema ni wewe nimekuomba tu ujifurahishe kidogo bana[emoji1787]Ukute amemuomba tena kwa kumpigia goti yule bwana anayefanya kazi kwny ile benki ampigie picha pesa za watu aandike na jina la mkulungwa mzalendo ili kupoza machungu ya vitasa vya humu ndani
Kwa shida walizonazo Wakenya pepo inawahusu mana tayari moto wanaupata hapa chini isipokuwa wanasiasa na matajiri wachache.[emoji28]Lazma waende peponi
Na hizo ni takwimu za 2020 just imagine, tukiwaambia sisi tunaakili kuliko wao wanabisha, utakuta wanaongelea Mombasa wanasahau karibia 90% ni import cargo.Amekaa kimya
Hajui kwama Tz Exports more(Goods ans Services ) than Kenya
Na Bado Kenya wana import Zaidi labda 2x kuliko Tz
Kwenye export tumewapita tayari hawatakaa watufikie, ndio maana nasema Kenya ni paper economyTz sio Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2516566View attachment 2516568
Hii futa, haitatokea.. mradi umepigwa chinHata cable cars za kwanza EA zinatokea Tanzania
Bureti treni🤣🤣🤣Bullet train 😂 😂 😂
Kuna mwenye aliuliza ainyeshwe Gari tano zikifuatana kwa expressway.🤣
Railway ya Kwanza duniani imejengwa 1825, wewe unaongelea railway ya 1800s. Kukosa maarifa ni ugonjwa kweli.🤣Tuliwaambia kwamba ninyi wakenya ni washamba sio kwamba hatuwapendi, huo ndio ukweli, inawezekanaje katika karine hii ya kisasa mnakwenda kujenga reli ya 1800s?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ndio maana halisi ya uchumi kukua, yaani unaongeza mauzo na unapunguza kununua. Hapa ndio sababu Tanzania tunafanya miradi ya maendeleo yenye thamani kubwa kuliko nchi zote za EAC kwa pamojaAmekaa kimya
Hajui kwama Tz Exports more(Goods ans Services ) than Kenya
Na Bado Kenya wana import Zaidi labda 2x kuliko Tz
Tanzania hoyeeeKwenye export tumewapita tayari hawatakaa watufikie, ndio maana nasema Kenya ni paper economy
View attachment 2516706
Wachana na Gari tano hazisaidii uchumi, linganisha Exports vs Imports za Tanzania na Kenya, hiyo ndio kipimo Cha "strong economy"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwenye aliuliza ainyeshwe Gari tano zikifuatana kwa expressway.[emoji1787]
Alipogundua tumewaacha mbali akakimbia hakurudi tena na akalala kabisa japo sina hakika kama alipata usingizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye export tumewapita tayari hawatakaa watufikie, ndio maana nasema Kenya ni paper economy
View attachment 2516706
Wakikaa sawa mwaka huu tutawauzia Mbolea kutoka Dodoma ya kutosha Zaid ya 100mil usd .Alipogundua tumewaacha mbali akakimbia hakurudi tena na akalala kabisa japo sina hakika kama alipata usingizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vijana wa kitanzania ni waaminifu sana kama mali si yake atakwambia si yangu,pia the look tu inaonyesha wako sawa kwenu maisha ni magumu sana kutoboa ni 10/90 wakati bongo ni 50/50. Just face facts.Wale watanzania wenzako wanaopiga pesa picha na kutuma huku pia hufanya hivyo ama ni wakenya tu?
Sasa unalia nini?!Pambana bro! Hustle Hard. Nothing Personal!.Ungesema ni wewe nimekuomba tu ujifurahishe kidogo bana[emoji1787]