The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwani wewe unajifanya hukuona tamko la serikali kuhusu bullet train au unajifanya chizi, Tz sio Kenya tukisema tumesema na lazima iwe hivyo, utake usitake bullet train ya kwanza EA lazima itokee Tz, ni kama reli ya kwanza ya umeme EA inatokea Tz, ni kama BRT ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama cable stayed bridge ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama three level interchange ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama bwawa kubwa la umeme EA linatokea Tz, ni kama sgr ndefu Africa inatokea Tz, so zoea tu lasivyo utakufa kabla ya siku zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mihemko? Alice na mihemko ni wewe unayeita ile treni yenu eti ni bullet train. As if you don't know what a bullet train is
Wale watanzania wenzako wanaopiga pesa picha na kutuma huku pia hufanya hivyo ama ni wakenya tu?Ukute amemuomba tena kwa kumpigia goti yule bwana anayefanya kazi kwny ile benki ampigie picha pesa za watu aandike na jina la mkulungwa mzalendo ili kupoza machungu ya vitasa vya humu ndani
Tamko LA hii serikali moja iliyosema na kurudia tena kwamba Magufuli anachapa kazi Ama kuna serikali nyingine?Kwani wewe unajifanya hukuona tamko la serikali kuhusu bullet train au unajifanya chizi, Tz sio Kenya tukisema tumesema na lazima iwe hivyo, utake usitake bullet train ya kwanza EA lazima itokee Tz, ni kama reli ya kwanza ya umeme EA inatokea Tz, ni kama BRT ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama cable stayed bridge ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama three level interchange ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama bwawa kubwa la umeme EA linatokea Tz, ni kama sgr ndefu Africa inatokea Tz, so zoea tu lasivyo utakufa kabla ya siku zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tz sio Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uchumi gani mumejenga bongolala? Hii inayotegemea imports kwa kiasi kikubwa ama kuna nyingine?
Hii Kali sanaTz sio Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2516566View attachment 2516568
Eti mkenya anamtambia mtz kuhusu importation, now kakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii Kali sana
[emoji28]Lazma waende peponi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari zao zote za kubeba abiria zinakaa hivyo, lkn wanatutengenezea bus kaliiii alafu wao wanaishi humo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuwa convice waweke Headquaters Zao , Za Africa Tz
Amekaa kimyaTz sio Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2516566View attachment 2516568
Msingi ni huuUchumi gani mumejenga bongolala? Hii inayotegemea imports kwa kiasi kikubwa ama kuna nyingine?
Hata cable cars za kwanza EA zinatokea TanzaniaKwani wewe unajifanya hukuona tamko la serikali kuhusu bullet train au unajifanya chizi, Tz sio Kenya tukisema tumesema na lazima iwe hivyo, utake usitake bullet train ya kwanza EA lazima itokee Tz, ni kama reli ya kwanza ya umeme EA inatokea Tz, ni kama BRT ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama cable stayed bridge ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama three level interchange ya kwanza EA inatokea Tz, ni kama bwawa kubwa la umeme EA linatokea Tz, ni kama sgr ndefu Africa inatokea Tz, so zoea tu lasivyo utakufa kabla ya siku zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ridiculous![emoji91][emoji91]
Ichogal wacha wivu na ukabila bana nirudi kwani wewe ndio unanipangia maisha [emoji706]Huyo mtaftie mmakonde anyonywe mpaka kipumulio chake alaf tuone atarudi kwao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]