Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Between cbd and upperhill kuna 'community area' ambayo ni cbd kivyake. Community is better than any cbd in Danganyika
BTW I forget about Community, an area I always call "Government Square" given the high number of national government offices/ministries there
 
Huu mradi mkubwa wa umeme uishe tu haraka Tanzania tuanze kupiga pesa.

SA wangekuwa serious wangeanza ujenzi wa line.
Waziri wa nishati sijui yupo wapi.

Hivi SADC hawanaga vikao vinavyo husu nishati?
Huo umeme wetu unasubiriwa kwa hamu Sana na nchi za SADC, na miundombinu ya usambazaji imeshakamilika
 
Hiyo park unatembea from one end of posta to the other end of kariakoo within 30 seconds unalinganisha na Uhuru park and Railways golf course that separate cbd na Upperhill?
Sekunde 30 .? 🤣🤣 u must be crazy. Umbali wa 160 meters.?
 
Sasa kwa nini viongozi wetu wasitumie hiyo opportunity kuleta viwanda kwa sababu political stability ya Tanzania ni rahisi kupata wawekezaji wawekeze kwenye production ya generator, agricultural tools na kufanya bulk importation of diesels / petrol. Maana tunaweza peleka EAC na SADCC ,

Yaani kuna potential sana kama wanavyofanya Dubai au Guangzhou Kama trade center

Itakua ma multiprier effect kubwa kama source of revenue (taxes) na employemnt kwa watu wengi
 
Selfishness inatuua waafrika yaani mataifa makubwa yana struggle na vitu kama hivyo vya msingi
South Africa ni sabotage inafanywa na Wazungu kwa muda mrefu sana kimkakati ili watu weusi waonekane hawawezi kuongoza. Sio umeme tu, pia, Wazungu wenye maghala makubwa ya kununulia vyuma chakavu, wamewalipa walalahoi wengi hasa wakati wa Lockdown kungoa mataruma ya reli, na yameng'olewa kisawa sawa pamoja na nyaya za umeme kwenye reli to a point hakuna tena treni toka Johannesburg to Pretoria ukiachia Gautrain.

Ni maswala ya kiintelegensia zaidi.
 
Sasa intelligence ya south africa inafanya nini? Lakini umeme ni tatizo la muda wanashindwa kupata suluhu japo kwenye sabotage mabepari wako vizuri.

Na waafrika unajifanyia sabotage mwenyewe kwa kiasi kidogo cha siku mbili. Ubinafsi wq kiwango cha juu sana
 
Leo pale Dar free market nimeangalia Movie ya Kichina 流浪地球2(Wondering Earth 2) na Balozi wa China pia alikuwepo. Moja wa Sponsor walikua hawa East Africa Commercial and Logistic center . East africa’s Largest one stop center For wholesale and logistic center) This project has started and selling.



 
Mimi nafuatilia nondo za kiuchumi kwa kubukuka. Wewe ziporomoshe tu kwa lugha ya kingereza wala usiwer na hofu.
 
Ni mwaka jana ndio hali ilikua mbaya sana. Swala kubwa ni hakukua na maintenance inayofanyika kwenye mitambo ya uzalishaji na pia wao kuzima na uongozi wa Ramaphosa kukataa kutumia coal, ni tatizo pia.
 
Wacha nichangamkie fursa hapo kabla wakenya waamke
 
Kama wewe unayajua haya kwamba Serikali ya south Africa haiyajui? Kama hawana akili acha wanyolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…