Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekwambia hvi kibera haiwezi kutoka kwenye orodha ya kua biggest slum in the world haiwezi na haitatoka 🤣🤣🤣🤣 na kwa mtu mwenye akili akiangalia hii picha ndio atajua uwepo wa binaadamu na nguruwe duniani
 
Unakumbuka hzi video nilichukua kwa sababu yako 🤣🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
 
Stop hiding behind the word 'block.' Nilikuambia hata Lucky Summer is considered a slum in Nairobi but nyumba ni apartments blocks. Way better than your uswazi sprawls that cover your entire city View attachment 2512835
After zooming ni jalala tu 🤣🤣🤣🤣 yani unatuletea magorofa ya udongo yanayodondoka kila leo hapa
 
After zooming ni jalala tu 🤣🤣🤣🤣 yani unatuletea magorofa ya udongo yanayodondoka kila leo hapa
View attachment 2512842
Wacha kujiliwaza bongolala. Those are apartment blocks built in a very organized way hadi kuna nafasi ya barabara. You can't compare that place na zile dreamhouses zenu zilizojengwa bila mpangilio na bati zimeliwa na mchwa hadi zinavuja
 
Kuna cbd nyingine isipokua kariakoo? Si n bahari next
Asanti kwa kukubali cbd ya dar-ni-slum
Wacha nikufundishe DAR .. eneo lilopo next to bahari ni hili hapa.. panaitwa Posta na ndio CBD hapa DAR 👇hii ni posta kaka ndio Iko karibu na bahari.. nimepost side by side ili uelewe mana wewe ni kichwa ngumu.. Kariakoo unaweza kuina 👇 gorofa za upande wa kushoto ☝️kk na hapo katikati ndio kunatenganisha kk na posta ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…