Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nimeelewa hivyo tangu mwanzo,tatizo jamaa anabisha kua sio kweli na sijui kwann anabisha hasa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mbabaishaji usitaje Maths sentence moja na wewe uwe na adabu kidogo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Bongolala, si lazima uwe mbishi kwenye kila jambo. Expressway inatumia hizo modes tatu umeambiwa kulipia ada.
Hiyo figure ya 10 million haimanishi kwamba those are different cars. Hiyo ni FREQUENCY bongolala. Ukisoma hiyo taarifa inasema kwamba on average, 50,000 vehicles use the expressway daily. Again, that's still frequency. Haimanishi kwamba 50,000 different cars use the road per day.

Jinsi wanavyojua idadi ya watumiaji ni rahisi sana. They only need to check the total number of tickets they've sold in a day kujua idadi ya magari yametumia hiyo barabara.

Mnapenda ubishi za kijinga sana mibongolala
 
Gates ziko kuingia na kutoka sasa kama Gate moja inalanes 8 na ya kutoka 8 kwa mfano hapo kinachoshindikana ni kitu gani?au kulipia inatumia muda gani hadi isiwezekane

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Huna uwezo na chochote kijana,utambishia kila mtu humu ndani kwa kujifanya unajua ila wewe ni fala tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wewe ni HKL mdogo wangu. Nyanja hizi za maths tuachie sisi. Wewe jadili mambo ya ngeri na vivumishi. Huku ni watu wenye IQ Kubwa tu wanaelewa.
Wewe uwezo wako ni wa chini mno.
 
Hao wanashangaa ni vichwa maji kama wewe who can't understand that those are frequencies but not individual cars.
We jamaa unajua hata maana ya frequency? Utapataje frequency kama gari halipo. Bure kabisa. Issue Maths, Science and Technology tuachieni sisi. Nyie vijana wadogo wadogo hebu ongeleeni issues za wasanii na history.
 
Lakini ubungo magari yana flow bila kuwepo na kizuizi cha toll kumbuka hilo kua hakuna toll ya kusimamisha gari ubungo kuna foleni hua inatokea daraja la kigamboni kutokana na toll pale mwisho wa siku lazma magari yawe na msongamano kama ni mengi
Mfano mzuri ni Kigamboni bridge. Pamoja na njia nyingi ikifika muda wa 1800-2100 kuna foleni kwenye toll booth na kwa takwimu zao hao Wakenya hapo expressway yanapita magari mengi zaidi ya darajani halafu hakuna foleni!
 
Huwezi kukuta daraja la kigamboni hakuna magari kwenye connecting roads achilia mbali kwenye toll
True na mm ndio maana nashanga sana na wakenya wenye akili zao wanashangaa pia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa kwa 10m cars za hii expressway Nairobi ndo nimejua kwamba wadanganyika wana low IQ na mfumo wa masomo wa Tanzania ni wa kipuzi sana kama unatoa wanafunzi ambao hawajui kufikiria [emoji23][emoji23]

Pia nimeelewa kwa nini Danganyika ni nchi maskini wa kutupwa sababu wanainchi wana upungufu wa kimawazo na kuelewa.
Fikiria hawa wako mtandaoni ndio wamechanuka kidogo at least wanatumia internet imagine mdanganyika wa huko sumbawanga au ni kigoma jinsi ako nyuma kiakili na kimawazo?! Haikosi uchawi umeenea hayo maeneo sana sababu hawaelewi maisha
View attachment 2511605
 
Mm ndio naelewa hivyo bila kujalisha gari hyo hyo imepiga trip nyingine, yn kwa frequency wanazodai ilibidi hizo gari zionekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…