muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
Hivi wewe Magu alikua anakudinya?? Mbona umemng'ang'ania sana? Mtu kishakufa! Kila siku unamtaja taja tu!Unafikiri kenya nikama tanzania mnadanganywa magufuli ako ofisini na mafiles, here we say the truth no matter how painful it is
Na trip 10m za nini?Hio gari 10k ni gari zilizojisajili kutumia payment method moja ambayo ni (ETC) mbna nyinyi ni wagumu kuelewa vitu simple
Soma hiyo!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Of course ni nyinyi, but remember the whole of Mombasa road includes both the expressway and the regular lanes. On a normal day, you'll find the regular lanes choked and the expressway running smooth. Now imagine with the smoothness of the expressway, it handles 50k vehicles, now what do you think the choked regular lanes handle?
10m ni amount of times expressway imetumika, 10k ni idadi ya magari zilizosajiliwa kutumia electronic payment system. Kuna gari zinatumia kadi na cashNa trip 10m za nini?
Unajua maaa ya trip 10,000?
Wacha nikuulize swali. Wakati serikali inatoa statistics kusema idadi flani ya watu wametumia dar brt kwa muda flani, wewe unaielewa vipi hii statistic?Soma hiyo!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2511216
Okay vyovyote vile. Trip 10,000,000 unaelewa kweli au unaongea tu?10m ni amount of times expressway imetumika, 10k ni idadi ya magari zilizosajiliwa kutumia electronic payment system. Kuna gari zinatumia kadi na cash
Kwa hesabu hizo tungeona queue kubwa sana mzee. 24/710m ni amount of times expressway imetumika, 10k ni idadi ya magari zilizosajiliwa kutumia electronic payment system. Kuna gari zinatumia kadi na cash
Ungeona na uko Tanzania [emoji23][emoji23]. You joke alot yo peopleKwa hesabu hizo tungeona queue kubwa sana mzee. 24/7
Mzee hapa tunaongelea statistics. Kwa magari 10m hapo pay point kungekuwa busy 24/7. Mimi nataka uniletee taarifa za kuonesha kuwa magari 10,000,000 yamepita for 7 months.Ungeona na uko Tanzania [emoji23][emoji23]. You joke alot yo people
Yameshaelezwa na yanaeleweka ni wewe tu huelewiHebu gawanya ww utuletee hio average sasa na ugawanye na pesa ije kiwango hicho hicho [emoji16][emoji16] naomba unisaidie wewe
Kwenye manano 100 ya mkenya yoyote duniani chukua moja uondoke zako
Kingereza kinakusumbua ?kua muwazi kwanza ,Sio kila k2 lazima ubishebishe tu kama huelewi ni bora uulizeHawa jamaa wanachekesha sana.
Ukichukua kwa hesabu za kawaida.
10,000,000 ÷ 10,000 = 1,000
Yaani kila gari linakuwa trip 1,000
Mwaka upo na siku 365 maana yake ukisema linapita.
Hawa jamaa jamani.
Kuhusu nchi yenu kufilisika, tuwasaidieje?[emoji13][emoji13][emoji13]
Lipeni deni airbus iwachiliwe bana
Mathematics inakupiga chenga siwezi kujadiliana na mtu wa HKL.Kingereza kinakusumbua ?kua muwazi kwanza ,Sio kila k2 lazima ubishebishe tu kama huelewi ni bora uulize
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Peleka ufala wako mbali, hzo gari 10k zilipita kwenye makalio yako au? Waambie na wakundustan wenzako mkiniletea gari tano zimeongozana kwenye expressway ya mchina naondoka jamiiforums leo.Hio gari 10k ni gari zilizojisajili kutumia payment method moja ambayo ni (ETC) mbna nyinyi ni wagumu kuelewa vitu simple
Sasa si muweke picha? Hivi nyie mlivyo na midomo mipana na kupenda sifa kuliko kula alafu expressway ya mchina zipite gari tatu kwa kila dk alafu msipost humu?Ungeona na uko Tanzania [emoji23][emoji23]. You joke alot yo people
Unabisha nn hapo? Unabishana na watu wenye takwimu?Upumbavu ni kipajiOkay vyovyote vile. Trip 10,000,000 unaelewa kweli au unaongea tu?
Yaani 10,000,000 × (7x30) =
47,620 magari yanapita kwa siku
Ambayo ni sawa na
1,985 kwa saa.
1985÷ 60 = ambayo ni sawa na magari 34 kwa kila dakika.
Yaani kila baada ya sekunde mbili gari linapita.
How many cars are registered in Nairobi?
Acheni uongo.