Usiseme taarifa haikwenda huwez jua ni technology gani imetumika na china alicholalamika kwann marekani akija kufanya upelelezi wake kwenye anga ya kimataifa china hafanywi kitu kwann marekani anatungua baloon kwenye anga ya kimataifa na china kamjibu marekani kua chochote cha marekani kitakachoonekana juu ya anga ya kimataifa upande wa china atakiripua hii inaonesha china alikua anatafuta sababu tu 😆😆Imeshadunguliwa kitambo hiyo ballon kwenye ufukwe wa Corolina.
Haikupigwa mapema kwasababu walitaka isiwe maeneo ya watu ili isilete madhara, pia hawakujua imebeba nini.
Baada ya kufika baharini ndipo ikapigwa bomu, muda wote ilikuwa ikisindikizwa na ndege za kivita. Lakini NASA walizima mawasiliano yote ambayo ilikuwa imekusanya ili itume Uchina.
Kwahiyo taarifa iliyokuwa imekusanya haikwenda ndio maana China analalamika ballon yake kupigwa..
Balloon ya pili iko South America na siyo ndani ya US maana imezunguka kwenye angala la Venezuela na nchi jirani halafu ikaondoka.
Naomba picha za huyu jamaa huwa ananichekesha sn sura yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani hawa watu sio tu ni chuki ndio inawasumbua lakini wako tayari iwe rwanda au uganda ila sio tanzania yani wakiskia tanzania kwao ni kuhara tu muda wote yani kwa lugha fupi tanzania ndio mhasimu wao wanadhani hvo 🤣🤣🤣🤣🤣Mwenye uchumi mkubwa anamuogopa mwenye uchumi mdogo 😂😂😂
Tell me you fear me without showing your inferiority syndrome 🤣
Wakati wanaimport kutoka overseas hawakuona kama wana resources za fertilizers ila baada ya kuona Tanzania is their next potential supplier 🤣
Hao jamaa in 10 years watakuwa wanaagiza everything from Tanzania almost 90% of their imports zitatoka Tanzania.Nyang'au wamepata mshtuko wa moyo baada ya kuona serikali yao inaagiza mbolea kutoka Tz , ha ha ha.
Naomba picha za huyu jamaa huwa ananichekesha sn sura yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ewaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani ishaashinda Ile Dodoma na hatuna kelele